Wilaya yenye guest house nyingi

Wilaya yenye guest house nyingi

Njombe ndo sehemu yenye guest house nyingi zaidi Tanzania,

Na ikifika ijumaa SAA 2 zote zimejaa hadi jumatatu, nyiee!! ule mji wananyanduana ni balaa
Kule watu wengi wana alama ya +ve, rate yake ni hatari sana
 
Sijui nisemaje kwa sababu sijafika mikoa yote na hata Kama ningefikabado ingekuwa ngumu kujua coz hauwezi kutembea kila chocho
 
Niliwahi kukakaa Wilaya Ya Muleba Maeneo ya KAMACHUMU daaah kuna gesti kila baada ya hatua moja
 
Mimi katika kusafiri kwangu na kuishi maeneo mbali mbali, kati ya wilaya ambazo zina guest house nyingi ni Dodoma Mjini na Babati Mjini. Unakuta katika nyumba kumi za katikati ya mji 7 ni Guest houses. Ongezea wilaya ambayo unadhani ina GH nyingi
Babati watu wanapigana miti mpaka sio poa. Niliwahi kuishi hapo kama miezi 6 hivi. Ni baraaa
 
1.Dar……..Keko na sinza

2.Morogoro …….mjini

3.Dodoma

4. Karatu na babati mjin
 
Back
Top Bottom