Wilder ingawa ni heavyweight lakini hana uwezo wa kumkalisha Floyd Mayweather

Nani anapigana kitozi Wilder au AJ?

Halafu umetumia kigezo cha urefu ,embu kaangalie Tyson alivyokuwa anapigana na majitu marefu marefu lakini alikuwa anayakalisha . au hata Floyd amepigana na majitu marefu marefu lakini ameyakalisha kama kawa.
 
Kwani Floyd kipindi anaitwa pretty boy ni sawa na Money May?

Hivi unajua K.Os nyingi Floyd alizipata kipindi anaitwa Pretty boy?

Sasa hapo nani katoka kwenye prime yake Kati ya Floyd na Pacuiao?
 
Wewe unazungumzia height au weight?

Hahahahahaaaa daaaah!

Casual boxing fans mnachekesha sana.
Nazungumzia height na weight pia,au hujui hvyo vinachangia kwenye uwezo wa boxer?n why u calin me casual fan,..u think u know me better,..
 
Nani anapigana kitozi Wilder au AJ?

Halafu umetumia kigezo cha urefu ,embu kaangalie Tyson alivyokuwa anapigana na majitu marefu marefu lakini alikuwa anayakalisha . au hata Floyd amepigana na majitu marefu marefu lakini ameyakalisha kama kawa.
Hiv kwel mtu 6.7ft na 5.8 kwel mnawafananisha hawa watu wawil kwel,..tyson hajawai pigana na mtu mweny height difference ya hvyo,...mim bnafs nna 6ft..so mtu mwenye 6.7 kanipita mbal sana,ndo uje useme huyu andunje,kwel...hapo bado hatujaongea weight,na ubora wa mtu mwenyew bnafsi

Yaan kwel kwa akil ya kawaida floyd amkalishe wilder,au labda sjawaelewa mnamaanisha nn
 
Wewe unazungumzia height au weight?

Hahahahahaaaa daaaah!

Casual boxing fans mnachekesha sana.
Hiv kwel mtu 6.7ft na 5.8 kwel mnawafananisha hawa watu wawil kwel,..tyson hajawai pigana na mtu mweny height difference ya hvyo,...mim bnafs nna 6ft..so mtu mwenye 6.7 kanipita mbal sana,ndo uje useme huyu andunje,kwel...hapo bado hatujaongea weight,na ubora wa mtu mwenyew bnafsi

Yaan kwel kwa akil ya kawaida floyd amkalishe wilder,au labda sjawaelewa mnamaanisha nn
 
Kwani Floyd kipindi anaitwa pretty boy ni sawa na Money May?

Hivi unajua K.Os nyingi Floyd alizipata kipindi anaitwa Pretty boy?

Sasa hapo nani katoka kwenye prime yake Kati ya Floyd na Pacuiao?
Hivi mkuu unakielewa nilichokwambia na we unachokibishia??

Mbona argument yetu ni jambo dogo sana.. Ubishi sio nani angepigwa.. hizo sasa zinabaki kuwa predictions tu..

Argument ni hii "wewe unasema AJ anamkimbia Wilder ukimaanisha kwamba AJ hamuwezi au anamwogopa Wilder, nami nikakujibu mbona May alikuwa akimkimbia Pacquioa?"

Sasa go figure it..
 
Waangalie tu walivyosimama hapo, alafu mtu ahamini May anaweza mpiga AJ au Wilder.. hahaha
 
Namuona Wilder kama anafuta nyayo za TBE katika kupigana akitumia akili ya kumsubiri mpinzani afanye makosa ndipo ashambulie mfululizo kama mnakumbuka kuna round Kingkong aliteleza BronzeBomber akamkimbilia ili amalize pambano

Katika hili pambano liliamuliwa na height pia Kingkong hakua na stamina miguuni laiti angekua fiti kusimama kikamilifu nadhan round ya saba mchezo ungeisha.

BronzeBomber kipimo chake dhahiri ni AJ na Joseph Parker hawa wanaweza mpokonya mkanda wake huo bila wasiwas japo na BigBaby Miller nae anataka kumchallenge

BronzeBomber Kutetea mkanda kafanikiwa sasa mara ya 7 lakini je anatetea na mabondia wa kariba ipi? Hajawahi kutetea kwa mabondia ranked in top 10 zaidi ya hili la juzi la Kingkong.

Ana mapambano mawili ya kuidhibitishia dunia ubora wake dhidi ya AJ na JP.. Over
 
Ndio maana nikakujibu anamkimbia kwa lipi haswa?
 
mhh jamani wilder ngumi yake ni kama umerushuwa mfuko wa cement
 
Anthony Joshua v Joseph Parker on March 31.

Who ya got?
Ngoja nikamtazame Joseph Parker anachezaje maana AJ namfahamu vyema ili huyu JP sijapata kumuona akicheza.

Juzi nimeangalia tena mapambano deantay niliona udhaifu wake ni mrusha mangumi ovyo akipata mtu makini kama AJ anaondolewa japo sio mapema mapema kiivyo,

Kweli ni mchezaji mzuri ila sio zaidi ya AJ yaani AJ hata nje ya ulingo anaonekana ni mtulivu wa kila namna huyu mmarekani ana fujo na hana focus wakati anapocheza.
 

Ni hivi, fundamentals za AJ ni nzuri zaidi ya za Deontay. Huko kwenye fundamentals ndo kuna mambo kama ya technique, posture, na kadhalika.

Ila ikija kwenye one punch knockout power, nadhani walio wengi wanakubali kuwa Deontay ni zaidi.

AJ hana concussive power kwenye ngumi zake. Kama anayo basi hatujaiona bado. Deontay yeye keshalithibitisha hilo mara nyingi tu.

Ikija kwenye nani ana kidevu kizuri, nadhani hapo hawajapishana sana.

Nani ana moyo? Nadhani wote wameshathibitisha kuwa wanaweza kukabiliana na dhoruba kali na bado wakaibuka kidedea.

Lakini maneno mengi ya nini? Waingie ulingoni tuone...
 
Joseph Denis Parker ni moto yampasa AJ kujipanga vema mnooo, huyu jamaa kwa record anafanana na AJ, wote wawili hawajawahi kupoteza pambana katika heavyweighty devision na kiumri hawakupishana kiivyo, kitu kinachonipa niweka 55% ya ushindi kwa AJ ni posture tuu kwa iyo bado kama ukiniambia nichague kwa kuweka mzigo naweza kushindwa maana hizi 45% kwangu bado naamini Parker anaweza kushinda pambano.

NDONDI NI MCHEZO WA KIUME HAUTAKI ZARAU WALE NGEBE... Pambano litakuwa zuri sana.

Acha tuone..
 
Wewe ni Pimbi hata hujui ngumi zinaendeshwaje. I guarantee you kwa uzito wa floyd wilder akiconnect moja tu,lazima floyd azimike moja kwa moja au atazindukia mortuary.
 
Na ile round ya 5 Ortiz angekuwa ndo AJ angekuwa keshakaa
 
Ongeza pia Klitscho alikuwa na miaka 41 wakati anapigana na AJ.Aliishachoka ndo maana pumzi ilikata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…