Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Kabulala

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
695
Reaction score
936
Japo alitangaza kustaafu lakini ataombwa kutengua dhima yake na wanaCcm wa Bukoba ili aendelee kuwatumikia Wana Bukoba town kwani mchango wake bado unahitajika. POLITICS.
 
CCM wΓ€takubali? Maana wamekabana kinyama, Chadema kuingia huko ni kuzidi kubana nafasi
 
Yaan hata uwenyekiti wa mtaa hawezi kupata walishamchoka na akasoma alama za nyakati ndio maana alifikia hayo mahamuzi, labda "ASINDULE EBIKONYA"
 
Wafukuzwe uanachama Chadema, alafu CCM ndiyo waumie haya mambo ya ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…