Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Nafikiri ni Tatizo la kijiografia..

Raja baadhi aliyoyafanya ili jukwaa hili lipate mwanga Tafadhali.
Taja machache aliyoyafanya ili jukwaa hili lipate mwanga Tafadhali
 
Kwani kukipigania chama lazima uwe mbunge,&#%, wewe kazi yako ni kukitetea chama ili kishike hatamu. Shida ni jimbo sio mwanachama
Tuliopigania chama inakuwaje?
Inauma sana sana

Yaani jamaa hata week bado tayari anakuwa mbunge tena

Sisi wavaa kofia za kijani na T shirt kama pepe kale inakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom