Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Mabula alikuwa anafanya kazi ya Ulinzi (Security Guard). Nikikutana naye, nitamshauri asitumie vihela vyake kwenye ubunge. Bahati haiji mara mbili.
Namjua sana alikua akifanya kwa mhindi gihji bahati mbaya natonywa na imfoma wangu hotel iliuzwa kwahiyo mjini si pahala salama kwake kukaa aende kwao busega kwa baba na mama yake
 
Miaka Mitano stendi kuu ilimshinda!!

Hiv bukoba wasomi wote hao kunakosekana mtu wa kugombea ubungo na kuijenga bukoba?

Bora hata malinzi alikumbuka nyumbani akajenga uwanja wa mpira

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la bukoba lilianzishwa na yule Amani wakati yupo diwani wa ccm akawa na nguvu kuliko hata walio mzidi cheo

In God we Trust
 
Tuliopigania chama inakuwaje?
Inauma sana sana

Yaani jamaa hata week bado tayari anakuwa mbunge tena

Sisi wavaa kofia za kijani na T shirt kama pepe kale inakuwaje?
Mzee ukishakuwa mwanachama wetu,unapata haki zote kama wanachama wengine waliokuwapo kwa muda mrefu.

Hii ni kusaidia kuwavutia wale ambao sio wanachama wajione wanapata fursa sawa na wenzao.

Sent using iphone pro max
 
Ata asingetangaza kung'atuka angebwagwa tu nakumbuka tulienda kupiga kambi Bukoba kuhakikisha tunampatia jimbo,tulitumia umaarufu wake tukapata kura za huruma,simnajua alikua ametoka Segerea alikohifadhiwa na Mwigulu Ncheba? Lakini sasa ivi wanaota moto pamoja wakipanga kusambaratisha Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika siasa ni mchezo mchafu sana

Back
Top Bottom