Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Chief kalumuna anaweza kuchukua jimbo anakubalika saaaana japo ni cdm,
Alikuwaga ccm wakamkata udiwan 2015 akasajiliwa na DJ zero akarudi kuwa diwan.
Pongezi ziende kwa DJ zerooo kuwakomboa Vijana wengi waliokuwa wamepotezwa na cdm
 
Weye URIE tu Mkuu. Wasaliti kutoka chadema wana thamani kubwa ccm kuliko wafia Chama, labda usubiri 2025.😂😂😂
Kama vile alivokuwa Lowasa mpaka Yule mfi chama Mzee wa Mihogo akatupiwa vilago.
Bado sijasahau pia; zaidi ya 70 ya wagombeo wote wa Chadema 2015 walikuwa wagombea waliohamia baada ya kukatwa CCM...
Leo unashangaa CCM kupokea na kuwapa nafasi wageni..
ACHENI UNAFIKI
 
UNAFIKI na mie HATUIVI chungu kimoja. Hata kuja kwa fisadi Lowassa chadema mie nilipinga. MNAFIKI huyu hapa lakini leo hii hawezi kutamka haya kwani ni MCHUMIA TUMBO.

Miaka sasa ni mitano kwa wana bukoba wanamuonaga kwenye tv akiwa hospitalini
Japo alitangaza kustaafu lakini ataombwa kutengua dhima yake na wanaCcm wa Bukoba ili aendelee kuwatumikia Wana Bukoba town kwani mchango wake bado unahitajika. POLITICS

In God we Trust
 
Wewe jamaa una vituko sana yaani Pepe Kalle?
Tuliopigania chama inakuwaje?
Inauma sana sana

Yaani jamaa hata week bado tayari anakuwa mbunge tena

Sisi wavaa kofia za kijani na T shirt kama pepe kale inakuwaje?

In God we Trust
 
This was expected though. Maamuzi “magumu” yana gharama zake
 
UNAFIKI na mie HATUIVI chungu kimoja. Hata kuja kwa fisadi Lowassa chadema mie nilipinga. MNAFIKI huyu hapa lakini leo hii hawezi kutamka haya kwani ni MCHUMIA TUMBO.

Akirudi tena nistue
 
Japo alitangaza kustaafu lakini ataombwa kutengua dhima yake na wanaCcm wa Bukoba ili aendelee kuwatumikia Wana Bukoba town kwani mchango wake bado unahitajika. POLITICS
Naona mmebadili mbinu siyo nccr tena ni ccm, mnatapatatapa tu.
 
Back
Top Bottom