Will a weakened America emerge victorious against communist China?

You nailed it man....
 
Unaelewa kwanza kwa nini Dollar ya Marekani ndio currency inayotumika zaidi katika biashara ya kimataifa ?

Hayo mataifa makubwa yatakapoacha kutumia dola ya Marekani yatatumia sarafu gani mbadala ambayo itakubaliwa mara moja tu na mataifa yote?

Unafahamu biashara kubwa ya kimataifa ni kati ya makampuni binafsi yaliyoko nchi tofauti na sio biashara kati ya serikali? Hayo mataifa makubwa yatayaambia makampuni binafsi pia yaachane na matumizi ya dollar?

Hifadhi ya nchi(reserves) ambazo nyingi ziko kwenye dola ya Marekani zitafanywaje na hizo nchi? Watakubali kuzipoteza zote?

Hili swali la itakuaje mataifa makubwa yakiacha kutumia dola ya Marekani halina mashiko au ni "moot" ndio maana hakuna wenye akili wanaopoteza muda wao kulijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…