Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50)

Kama kuna familia ambayo uwa ina mambo mazito mazito ninya huyu baharia.
 
5bcf400dc76219230f7fdaa3

Mwamba hajawa mkweli 100%, Yeye anatakiwa aseme kuwa amemchoka huyu Mama anaruka na vibinti vidogo, hajali tena iliyokuwa ndoa yao.
Katika vitu ambavyo huwezi kushare openly ni Mke, Kama umefikia hatua ya kuzungumza hadharani kuwa umemruhusu mke akaliwe na jamaa wengine maana yake nini? Ndoa haipo tena, Uhusiano umebaki kama mtu na dada yake.
 
Na sasa hivi Jada alivyonyoa kipara Will anamuona mwezie.......tena sasa hivi ukaribu na first wife umekolea tofauti na kule nyuma.
 
Yule yuko Bomba kuliko JADA, Sema Will anapenda wanawake wafupi.
 
5bcf400dc76219230f7fdaa3

Mwamba hajawa mkweli 100%, Yeye anatakiwa aseme kuwa amemchoka huyu Mama anaruka na vibinti vidogo, hajali tena iliyokuwa ndoa yao.
Katika vitu ambavyo huwezi kushare openly ni Mke, Kama umefikia hatua ya kuzungumza hadharani kuwa umemruhusu mke akaliwe na jamaa wengine maana yake nini? Ndoa haipo tena, Uhusiano umebaki kama mtu na dada yake.
Wengi wanashindwa kusema ukweli unaopelekea kutalakiana kwa mgawanyo wa mali. Wakiachana hawa Jada ataondoka na mzigo wa maana katika divorce settlement.
 
Hiii ndio ndoa sasa
Inabid utaratibu huu uje bongo pia . sio ndio inakua kama jela huwez kubadil ata laza uko nje
 
Confused celebrity...
Mradi wapate followers na kick..
Wabaki na spotlight...

Mtu anavuta madawa halafu anaenda kufanya interview kuelezea madawa yalivyo muathiri..
Hii ndo ukweli wa mambo.... wanamake hela tuu hawa
 
Wengi wanashindwa kusema ukweli unaopelekea kutalakiana kwa mgawanyo wa mali. Wakiachana hawa Jada ataondoka na mzigo wa maana katika divorce settlement.
Mwisho wa siku mnaishi maisha feki, Will Smith nahisi yule Baby Mama wake sijui kama alimwacha mazima?
 
Wanandoa wazinzi wanatamani hapo hiyo iwe sheria kwa wanandoa...
 
Mbona bongo hii kitu ipo kitambo sana, kasikilize wimbo wa manfongo- madanga ya Mke wng yananipa faida. Tena kamruhusu mkewe lile danga la kiarabu alipeleke kwa mpalange ili alipagawishe.
 
Alipofeli Will ni kwenda kwenye show ya mkewe kuzungumzia huu upuuzi na kugeuka meme. Angekausha tu maisha yasonge.
 
Back
Top Bottom