Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti peke yangu
Huo mstari wa mwisho [emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa sauti peke yangu
Huo mstari wa mwisho [emoji23][emoji23]
Hata mimi nlicheka kichizi na alimaliza hivyo akaondoka stejini akaacha watu wanaangua vicheko, maana story ilianzia shule, ukichapwa mbele ya mademu unakaza kama huumii.

Na ukikaza ticha anamaindi unamwaibiasha mbele ya mademu.
 
Ha ha ha....
Wee jamaa umenichekesha Sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ishu sio kampiga ishu ni huyo mch3keshaji kas3maje mpaka apigwe ?

Mke wa Will ana ugonjwa unaitwa Alopecia ambao husababisha nywele kunyonyoka na mke wa Will hana nywele

Sasa Chris akatania jokes hapo ila baadae kilichomuudhi Will ni pale alipomfananisha na movie moja aliekuwemo Demi Moore akiwa kanyoa nywele G1 JANE”

Hapo hata wewe usingekubali mtu ataniwe kwa maradhi yake
 
Hata mimi nlicheka kichizi na alimaliza hivyo akaondoka stejini akaacha watu wanaangua vicheko, maana story ilianzia shule, ukichapwa mbele ya mademu unakaza kama huumii. Na ukikaza ticha anamaindi unamwaibiasha mbele ya mademu.

Hahahaha na wewe umepigilia msumari kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema nimesoma sehemu kuwa chris kagoma kumfunguliwa mashtaka.

Yani wachekeshaji anaweza anza utani ambao unakuuma tena mbele ya watu unajifanya unacheka kumbe unaumia na watu wakicheka anaendelea
 
Sema nimesoma sehemu kuwa chris kagoma kumfunguliwa mashtaka.
Yani wachekeshaji anaweza anza utani ambao unakuuma tena mbele ya watu unajifanya unacheka kumbe unaumia na watu wakicheka anaendelea

Ni criminal offence ila kwa kuwa wanajuana sana naona kupotezea ni sawa tu

Ni kosa kubwa kafanya Will ila ni hasira

Watayamaliza ila akifungua kesi ni mbaya sana kumpiga mtu unaweza kufungwa
 
Ni criminal offence ila kwa kuwa wanajuana sana naona kupotezea ni sawa tu
Ni kosa kubwa kafanya Will ila ni hasira
Watayamaliza ila akifungua kesi ni mbaya sana kumpiga mtu unaweza kufungwa
Bora tu lipite yaishe juu kwa juu.

Ila familia ya Smith na mkewe ni ya aina yake. Open marriage hivi kuna watu wanayo bongo kweli?
 
Kumpenda na kumdefend mkeo ni ubwege?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nmeifatilulia vizur Hii issue,
Nmeona imetokana na kumuta mkewe Smith Ni G.I Joe, mdada star mwenye kipara kwenye iyo movie.

Sasa ukizingatia kipara Cha mkewe sio fasheni Ni ugonjwa wa kunyonyoka nywele.

Jamaa akaona anamdhalilisha mkewe.

Mwishon wkt anatoa neno la shukran baada ya tuzo kalifanua uku anabubujikwa na machozi,

Anasema
"Watu wanadhan ukishakua star huna Moyo, wanaona Ni sahii sana kukutukana, kukuejeli na huna kitu Unaweza wafanya. Nmeumia Sana Kama niliemkwaza naomba anisamehe" Ukumbi wote kimya.

Sema baadae waandishi wamemhoji Chris's rock kutaka kujua Kama ataenda mshitaki mahakamani alipwe fidia,

Chris rock kasema yalotokea pale stejini yameishia pale pale, Hana haja kufile kesi mahakamani [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…