Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwahyo wee kwako mkeo kusimangwa mbele yako ni sawa?

Kheeeh makubwa haya tena lol. Khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machozi uwiiiih
 
Hahah ile mbata ukiweshwa lazima kamasi zikuruke
 
Ni bora alivyompiga mkuu.

Tutqmpa udhuru smith kwa sababu ya ugonjwa wake wa hasira hana kosa.

Ila huyo mchekeshaji atajifunza maisha yake yote vipi achekeshe watu.

Wachekeshaji wengi ndio walivyo yaani hawawezi kuchekesha watu mpaka wakejeli wengine.
 
Mbna wanae m1 shoga, na mwingne msagaji? Na ana hang nao km kawaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule alitaka kufosi,yaani katoka alipotoka kakuta jamaa anaongea na waandishi akamsogelea,ndio akataka kumbusu mdomoni,alitandikwa vizuri mbele ya kamera[emoji16]
 
Utani ulivuka mipaka.
Alimtania mke wa jamaa kuhusu tatizo lake la kupoteza nywele.
Ni ugonjwa huwezi kufanyia utani tena unaye mtania yupo hapo hapo mbele ya mamia ya watu na television.
Apigwe tuu mkuu



Gena ni kofi la kudhalilisha kama ambavyo yeye kamdhalilisha mwenzake kuhusu tatizo lake.

Ingelikuwa jamaa kapanick kwa ishu nyingine ya kiutani basi tungesemw kakpsea kumpoga kofi,ila kwa kosa hilo apigwe tu
 

Kweli kabisa mkuu ajifunze in a hard way

Yuko mmoja kwenye Churchill Show anaitwa MCA Tricky kutwa kumtaja Ali Kiba sijui alimkosa nini [emoji23][emoji23]

Hata sijui kama Kiba anajua hata churchill show
 
Amelia sana baada ya hapo, kaomba msamaha kwa wote ila sio Chris.
Utani kaguswa pabaya.
Na amesema niko abused na watu huwa niko kimya ila kuna mahali mtu unashindwa kuvumilia dharau hizi.

Kweli imemuuma na ameamua

Chris kavuka mipaka yake
 
Ila nimeangalia hawakuwa wanaigiza hawa kweli maana licha yakupigwa kibao akawa anaendelea kuchekesha
Chris kaonesha u-professional wake pale kaendelea vizuri kaenda nyuma kuugulia maumivu. Hile imesaidia ratiba kumalizika.
 
Kuhusu mke wangu nitakuvunja hata kiuno bila kujali eneo la tukio au hadhira iliyotuzunguka.

Safi sana Will Smith.
Tatizo watu wanamshangaa kwamba utani unapigana lakini kutombewa mke wako unaona poa.

Will Smith mwanzo alicheka na yeye kama watu wengine sema Jada alikasirika na ndio Will akaona bora anyanyuke aoneshe na yeye kakasirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…