Mm navyojijua kwanza ningehamaki afu pili ningemkwida mwamba yani mpaka mabaunsa wangeingilia baada ya kuamliwa ningerusha matusi ya hatari......Yah japo chris ni amepata kichapo halali ila emotions intelligence alizoonesha ni power kubwa sana ambayo wengi tunafeli.
Mkuu uko vyema kuna kitabu nilikianza. Kukisoma week iliyopita kinaelezea masuala hayahaya yaani watu wengi tunafeli kwenye issue za hisia aisee.
Kudos [emoji483][emoji483]
Stiv Ake ataenda kusuluhishaJamii ya watu weusi haina uvumilivu
Yah na Chris hakutegemea angepigwa kofi pale.na Smith akapiga makelele usimtanie mke wangu kabisa achana nae.
Ndio asili yetuJamii ya watu weusi haina uvumilivu
1. Ilikuwa utani (no harm meant). Will angemfuata mshkaji private jamaa waongee kiume.
2. How do you defend a woman who keeps clowning you in public?
3. You don't b!tch slap a fellow man, you punch them in the mouth.
4. Pac would've had Chris Rock make a whole special apologizing. Sorry Will.
Mzee ,Prince of Bel air ni Icon zamani sana Beverly Hills.Ila Chris mvumilivu sana yaani kapigwa neno la kwanza akasema wow
Kuna watu wana uvumilivu aisee
Na bado kakubali ataacha kumtaja Jada [emoji23]
Umenichekesha kwa sauti daaah sikutegemea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaaahahaha
Umenikumbusha jambo
Hahahaha.
Wengine tunaogopa kuua hadharani..yani unaweza muangalia mtu ukasema kabisa hapa nikimuadhibu huyu ninamuua, linapokuja suala la wife, NINAUA....bora kuua KICHAWI, ila hadharani ni kesi, mara jela miaka 60 huko.
Kile naona ni a desperate attempt from a man seeking validation from a woman that undermines him publicly
Huyu mwanamke kamchanganya sana mshkaji anafanya mambo ya ajabu sana