Chura
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,385
- 2,402
Mm navyojijua kwanza ningehamaki afu pili ningemkwida mwamba yani mpaka mabaunsa wangeingilia baada ya kuamliwa ningerusha matusi ya hatari......Yah japo chris ni amepata kichapo halali ila emotions intelligence alizoonesha ni power kubwa sana ambayo wengi tunafeli.
Mkuu uko vyema kuna kitabu nilikianza. Kukisoma week iliyopita kinaelezea masuala hayahaya yaani watu wengi tunafeli kwenye issue za hisia aisee.
Kudos [emoji483][emoji483]