Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Yah japo chris ni amepata kichapo halali ila emotions intelligence alizoonesha ni power kubwa sana ambayo wengi tunafeli.
Mkuu uko vyema kuna kitabu nilikianza. Kukisoma week iliyopita kinaelezea masuala hayahaya yaani watu wengi tunafeli kwenye issue za hisia aisee.

Kudos [emoji483][emoji483]
Mm navyojijua kwanza ningehamaki afu pili ningemkwida mwamba yani mpaka mabaunsa wangeingilia baada ya kuamliwa ningerusha matusi ya hatari......
 
IMG_20220328_193620.jpg
 
Yah na Chris hakutegemea angepigwa kofi pale.na Smith akapiga makelele usimtanie mke wangu kabisa achana nae.

Ila Chris mvumilivu sana yaani kapigwa neno la kwanza akasema wow
Kuna watu wana uvumilivu aisee
Na bado kakubali ataacha kumtaja Jada [emoji23]
 
Sura za mshangao [emoji23][emoji23]
Waigizaji wenyewe wakaona ohooo kumbe kweli
IMG_4733.png

IMG_4735.png

IMG_4737.jpg
 
1. Ilikuwa utani (no harm meant). Will angemfuata mshkaji private jamaa waongee kiume.

2. How do you defend a woman who keeps clowning you in public?

3. You don't b!tch slap a fellow man, you punch them in the mouth.

4. Pac would've had Chris Rock make a whole special apologizing. Sorry Will.

Kile naona ni a desperate attempt from a man seeking validation from a woman that undermines him publicly

Huyu mwanamke kamchanganya sana mshkaji anafanya mambo ya ajabu sana
 
Ila Chris mvumilivu sana yaani kapigwa neno la kwanza akasema wow
Kuna watu wana uvumilivu aisee
Na bado kakubali ataacha kumtaja Jada [emoji23]
Mzee ,Prince of Bel air ni Icon zamani sana Beverly Hills.
Sasa Chris mtu mdogo sana kwake.
Chris kabaki katoa macho hajaamini.
Na kakubali kwamba simtaji tena Bro.
 
Hahahaha.

Wengine tunaogopa kuua hadharani..yani unaweza muangalia mtu ukasema kabisa hapa nikimuadhibu huyu ninamuua, linapokuja suala la wife, NINAUA....bora kuua KICHAWI, ila hadharani ni kesi, mara jela miaka 60 huko.

Ata kichawi utatafuta na wewe na ata ukwepe vipi siku utajaa. Njia ya kumshinda adui ni kumjaza hofu tuu
 
Kile naona ni a desperate attempt from a man seeking validation from a woman that undermines him publicly

Huyu mwanamke kamchanganya sana mshkaji anafanya mambo ya ajabu sana

Sana. Huyo manzi kamfanya jamaa awe fala kichizi. Khmshambulia mchizi was very unnecessary.
 
Huyo mke alimkuta bikra? Au alikuta wakulungwa washajipigiaga doggy style kitambo[emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom