Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Will Smith amtandika kibao Chris Rock usiku wa tuzo za Oscar

Utani mbaya. Mc mkali wa huko Usa Chris rock kajikuta na aibu baada ya kupigwa kibao na Mshindi wa tuzo ya Oscar ; Will smith baada ya kumtania mkewe Jada pinkett smith. Utani mbaya ulomfanya Smith anyenyuke toka alipokaa hadi mbele ya stage na kumpiga bonge la bao.

Alivorudi kukaa Smith akamuambia '' Get out my wife's name out of your fxxking mouth''

Aisee. Uzi tayari View attachment 2166607 View attachment 2166606
Amedhalilisha tasnia ya filamu.

BASATA wamfungie kwa miezi miwili.
 
Back
Top Bottom