William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

Ni wakati muhafaka,kuondoa jamii zile kubwa kwenye utumishi wa umma,au zipewe nafasi za chini,Haya,Chaga,sukuma,Nyakyusa,wakae pembeni.
Sasa ni wakati wa wazigua,wamwera,makonde,safwa,
 
Hata Mke Wa CS Wa Sasa Ndugu. Katanga Mkewake Yuko Nssf Mkoa Wa Temeke, Idara ya Operation
 
Ni wakati muhafaka,kuondoa jamii zile kubwa kwenye utumishi wa umma,au zipewe nafasi za chini,Haya,Chaga,sukuma,Nyakyusa,wakae pembeni.
Sasa ni wakati wa wazigua,wamwera,makonde,safwa,

Sisi wanyonge wengine,tunazamishwa kwa HOJA kwamba hatuna shule na hatujapeleka watoto shule,hata Kama kwa miaka ya karibun vijana waneenda shule ila tunaonekana hamnazo,ila mungu yupo,ipo siku yetu.
 
Acheni majungu yasiyo na kikomo, hujui kitu, eti mwendazake ujinga mtupu. Mliyoyategemea hayajaja jiandaeni na maumivu kama kawa.Tanzania haitakaa irudi nyuma. Chuma chuma tu
Chawa kama Chawa.
 
Hapo wamrudishe tu mzee wetu wa saigoni Dr Ramadhani Dau hawa wengine kero tu hapo..
 
Hata Shirika la Bima Taifa Mkurugenzi wa Fedha katoka PSSSF kajaza Wahasibu wote toka huko.
 
Afadhali ametenguliwa! Hafai. Kabla ya msiba wa kitaifa pension ilikuwa inatoka tarehe 23 kila mwezi. Baada tu ya msiba panya akatawala!! Mpaka leo pension haijatoka!! Huu si Ni uuaji!!
Na wewe unalalamika?
 
Nafikiri alikuwa anaondoa watu wa DG wa kwanza ,ambaye aliajiri wengi wa imani moja.Nafikiri alifanya kazi yake vizuri
 
Ni vema akapumzika wakaja watu wengine
Ni kweli kabisa, alikuwa anafanya kazi kwa hofu ya Magufuli tu! Wakati huo kila tarehe 23 ya kila mwezi tayari pensheni ya wastaafu iliingia benki. Tangu Rais Magufuli afariki huyu Bwana Hana habari Tena ya kuwahisha pensheni ya wastaafu. Hadi anatumbuliwa pensheni ilikuwa bado kuingia!!
Mkurugenzi mkuu mpya wa nssf, hakikisha wazee wetu wanapata pensheni kwa wakati. Anza na Hilo maana Hilo ndilo jukumu lako la msingi.
 
Na wewe unalalamika?
Kwa Nini nisilalamike? Wazee mitaani walizoea tarehe 23 Mambo Safi. Baada tu ya Rais Magufuli kufariki, huyu jamaa bila aibu pensheni hakupeleka kwa wakati. Mpaka anatumbuliwa pensheni ilikuwa hawajaingiziwa! Katili Sana huyu.
 
Kwa Nini nisilalamike? Wazee mitaani walizoea tarehe 23 Mambo Safi. Baada tu ya Rais Magufuli kufariki, huyu jamaa bila aibu pensheni hakupeleka kwa wakati. Mpaka anatumbuliwa pensheni ilikuwa hawajaingiziwa! Katili Sana huyu.
Kwa hiyo magufuli kaondoka na hela? Ndiyo ujue Magufuli aliweka mfumo mbovu sana
 
Asante sana kwa ufafanuzi
 
Kwani Mzee Urio naye sukuma gange? maana nasikia Magufuri aliwapa vyeo vikubwa sukuma.
 
.. William Erio siyo Mchaga.

..nilikua natoa angalizo tu ndugu zetu Mataga / kamati ya CHUKI.

..niko tayari kuvurumishiwa matusi.
mbona wajishitukia mkuu, sijaona mtu aliyeandika kwamba ndg Erio ni mchaga,

Btw naona unahisia za kikabila hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…