Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mkuu mapessa , duh...!, umejuaje?!. Kumbe sisi wenzenu tunapopewa ile signing sheet kusaini, huwa tunatafuta jina lako tuu na kusaini, kumbe wenzetu huwa mnaangalia majina kwenye hiyo payroll na kuja kututaja humu JF!.Tunajua upo kwenye payroll ya Dotto James, hivyo bora utulie tu.
Hii ni moja ya kazi zangu alizo lipia!.
Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
Wanabodi, JF ilipoanzishwa was meant to be the home of Great Thinkers. Hivyo katika mabandiko ya ma GT, they discuss the ideas hawajadili watu, hili ni bandiko kuhusu ideas, hivyo naomba sana kusisitiza hapa hatujadili watu na wala tusitajetaje majina yoyote ya watu. Hakuna jina la mtu yoyote...