William Lukuvi anaandaliwa kuwa Spika wa Bunge la JMT?

Tunajua upo kwenye payroll ya Dotto James, hivyo bora utulie tu.
Mkuu mapessa , duh...!, umejuaje?!. Kumbe sisi wenzenu tunapopewa ile signing sheet kusaini, huwa tunatafuta jina lako tuu na kusaini, kumbe wenzetu huwa mnaangalia majina kwenye hiyo payroll na kuja kututaja humu JF!.

Hii ni moja ya kazi zangu alizo lipia!.
P
 
Lukuvi ni hard working,na sijasikia makando kando yake sana.Pia ana hadhi ya kuwa Speaker,ila sijajua kwa upande wa weledi.
 

We unayasema haya kwasababu haufanyi kazi chini ya wizara yake. But kwa waliofanya kazi chini yake wameteseka sana hasa kwa kampuni za survey na wapimaji kwa ujumla
 
Lukuvi anaomba hela za nini ameiba vya kutosha ana apartment za kutosha, nyumba nyingi kila mahali apartment za pale chole road corner ya kwenda Msasani zinampa hela Ya Kua speaker
Lukuvi kaliza watu wengi na shamba na plots kachukua alivyotumbuliwa ni shangwe mitaani
 
Kimkakati kabisa Lukuvi ameachwa kwenye Baraza la Mawaziri ili akachukue nafasi ambayo anazo sifa kuliko Mbunge yeyote.
Kwanza Lukuvi ameingia Bungeni 1995, Amekuwa Waziri wa Sera na Bunge. Anafahamika na kila Mbunge na anakubalika.
Ameshaharibu,, hawezi kupata,,

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Nilijua kabisa kuwa Samia anatumia mbinu zilezile za Magufuli. Ukiwa waziri na ukitaka kuwa safe usimseme Samia kupitia Simu. Nenda moja kwa moja ukaongee ana kwa ana na unaetaka kuongea nae. Hata Uspeaker jina halitarudi.
Unaenda vipi wakati movements ziko monitored... Hata mkeo atafuatwa na atakusaliti tu,, [emoji23][emoji23][emoji134]
Kikubwa tuache tamaa, wameona watachelewa sana kumwachia SEH atumikie vipindi viwili,. Wamekosa ustahimiluvu, hawajajifunza kwa lowasa alietaka JK atumikie one term halafu eti amwachie yeye,,,
Akaanza harakati za kugombea uenyekiti wa chama eti achuane na jk,,
Sasa Lukuvi anataka kurudia kosa lile lile eti awe spika, halafu wapindue meza,,,
Hawa watu uroho wa madaraka utawaharibia future zao, wajirekebishe,,,

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 

Tatizo lao hawa watu wanalewa madaraka na wanafika kujiona kama hii nchi ni mali yao na wana hati miliki
 
Ile clip imemchafua Apati uspeaker wala uraisi.Ukiwa mwanasiasa ulimi wako ndio kula yako

Halafu anaongea mle kwenye clip kama nchi ni mali ya genge lao yaani anaongea eti hatuwezi kuuwaachia wazanzibari wajitawale wenyewe,

yaani hili neno Hatuwezi kwani yuko yeye na nani ??? Mkewe ?
 
Asubuhi ya leo Lukuvi bila kujua anarekodiwa ameenda nyumbani kwa Frank Mtei kumuomba pesa azungumze na shabiby pamoja na matajiri wengineo wa Dodoma kwa ajili ya mbio za Uspika.
Ndio ameshaisha hivyo!
Huyu mtu hafai kuwa spika;
kiburi
kujisikia
majivuno
dharau
elimu yake sidhani kama pia iko vizuri, nahisi ni ya kuokoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…