Kuna kosa gani la maadili rushws ama? Sielewi?4-1-2022
kati ya saa tatu hadi saa tano unusu usiku
William Lukuvi anafanya majadiliano na baadhi ya vijana wa Dar es Salaam baadhi wakiwa watumishi wa serikali eneo la Masaki na katika maongezi mmoja wao kwa jina la William Ndaki anauliza itakuwaje kama Rais atamtengua nafasi ya Uwaziri.
Siku mbili baadaye maeneo haya kinafanyika kikao kilichompa wazo William Lukuvi alikuwa akifanya mazungumo ya simu asubuhi saa nne na dakika kumi na baadaye mazungumzo ya ana kwa ana mchana na Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda.
William Lukuvi anaomba miadi na Kwa Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda kumueleza kuwa anafahamu kuwa tayari yeye ni tatizo amechafuka baada ya Rais kusema anafanya mabadiliko ya baraza la mawaziri.
Anaeleza kuwa anachotaka yeye ni Mizengo Pinda kumuhakikishia kuwa endapo atachukua fomu ya Uspika jina lake litarudi kutoka kamati kuu na kuwa mgombea wa nafasi ya Uspika endapo atatemwa kwenye baraza la Mawaziri.
Mizengo Pinda anamuomba muda ili apate nafasi kumjibu. Usiku wa siku inayofuata tarehe 7-1-2022 wanazungumza na Stephen Wasira na mkutano mwingine unapangwa.
Mtaa wa Mwangosi Dodoma zilipo baadhi nyumba za Lukuvi wanakutana Geoffrey Mwambe, Luhaga Mpina, Job Ndugai, Leornad Chamuriho pamoja na Lukuvi mwenyewe ndipo walipokutania. Kwa mara ya kwanza wanakutana na kumpa pole Aliyekuwa spika Job Ndugai.
8-1-2022
Mkutano wa pili unafuata kati ya Lukuvi na Kabudi, Lukuvi anapewa go ahead kugombea Uspika na mratibu wa kampeni ni Luhaga Mpina anakabidhiwa kazi hiyo.
08-1-2022
Lukuvi anaanza mawasiliano na Wajumbe wa NEC akitumia mmoja ya wanawake ambao amekuwa na uhusiano nao wa kimapenzi bungeni, mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 38 ni mjumbe wa NEC kutoka kanda ya Kati.
Mjumbe anaeleza kuwa anataka bajeti milioni 150 kwa ajili ya wajumbe na siku hiyohiyo anaanzisha group sogozi la whatsapp kwa Siri anaanza kuwaadd watu wa karibu Na Lukuvi Bungeni ambao wengi wao ni wabunge. bahati mbaya anamuadd Mbunge mmoja ambaye ni kitengo bila kujua.
Mchana wa tarehe 8-1-2022.
Lukuvi na mwanae wanashauriana kutafuta watu wa kumsaidia kwenye mitandao ya kijami anamueleza lengo lake Na Mtoto wa Lukuvi anakutana na Gladness Lyamuya anamuunganisha na KAWI SHAYO na wanataka kawi atumie akaunti zake za instagram kusifia kazi za Lukuvi kwa sasa.
Lukuvi anasema anaweza kumpa milioni 15 kwa kazi hiyo tayari mwanadada ameshaanza kazi na hela zimeweka kupitia equity bank. Huyu kawi ndiyo mwenye akaunti ya Originaleast zamani sasa ana akaunti inaitwa Politics mtandao wa insta.
Alfajiri ya tarehe 9-1-2022 kupitia Group la Whatsapp. Lukuvi, Job, Mwambe, kabudi, Mpina, Kalemani, Chamuriho wameanza kuchangishana Pesa ili Lukuvi Awe Spika".
Asubuhi ya leo Lukuvi bila kujua anarekodiwa ameenda nyumbani kwa Frank Mtei kumuomba pesa azungumze na shabiby pamoja na matajiri wengineo wa Dodoma kwa ajili ya mbio za Uspika.
Ntawajuza zaidi.
Sasa ili uwe mbunge si lazima utokane na chama cha siasa ama mbunge wa kuteuliwa na Rais? Katiba yetu hairuhusu mgombea huru asiyetokana na chama cha kisiasa.Ndiyo nafasi ya spika inaweza kugombewa na mtu yeyote mwenye sifa za kuwa mbunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka anayepitisha jina la Spika kwenye chama ni Mwenyekiti wa ccm taifa ambaye ndo huyu Rais.Jiwe alilolikataa Mama kiguu anaenda kukutana na katika Mhimili unaoisimamia Serikali likiwa kama Spika wa Bunge, Lukuvi ni Mtu na Nusu
Kwanini umeamua kuwakosea Watanzania kiasi hiki? Yaani kashfa zote za kifisadi alizohusishwa Chenge bado unapendekeza awe Spika?Kabudi hafai kabisa aende akale hela walizohongwa za Makinikia; mpaka leo hatujui hatma yake!
Hiyo kazi ya Spika wampe Chenge kama wanataka bunge liheshimiwe.
Hilo jina si mpaka mwenyekiti wa ccm taifa aridhie ndo lipite? Kwa mamlaka aliyonayo mwenyekiti wa ccm taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna wakupinga anapoamua iwe hivyo.Kampeni za majitaka na kuchafuana zimeanza, hii ni kutaka kumchafua Spika wetu mtarajiwa!. Fitna hii imefeli kabla haijaanza.
P
Hata mimi nilitabiri hivi. Jamaa yuko very competent kwenye siasa za TanzaniaNimeangalia kwa mbaali saana naona mama kamuacha Lukuvi kwenye uwaziri ili akagombee uspika wa bunge kufuatia kujiuzulu kwa uncle Ayubi Ndugai.
Lukuvi ana experience kubwa sana kwenye mambo ya bunge ni mbunge mkongwe na mwanaccm kindaki ndaki hajaachwa kwa bahati mbaya.
Hakuna mwanaccm ndani ya bunge kwa Sasa atakae mshinda Lukuvi wakipambana kwenye sanduku la kura kwa wabunge wa Ccm
Karibu Willium Vaghing'embe Lukuvi mbunge wa Isimani kua spika mpya wa bunge Letu
Kumbe anaitwa Ayubi Ndugai...!Nimeangalia kwa mbaali saana naona mama kamuacha Lukuvi kwenye uwaziri ili akagombee uspika wa bunge kufuatia kujiuzulu kwa uncle Ayubi Ndugai.
Lukuvi ana experience kubwa sana kwenye mambo ya bunge ni mbunge mkongwe na mwanaccm kindaki ndaki hajaachwa kwa bahati mbaya.
Hakuna mwanaccm ndani ya bunge kwa Sasa atakae mshinda Lukuvi wakipambana kwenye sanduku la kura kwa wabunge wa Ccm
Karibu Willium Vaghing'embe Lukuvi mbunge wa Isimani kua spika mpya wa bunge Letu
Unajibu kwa utashi wako au kutumia vifungu vya katiba ?Sasa ili uwe mbunge si lazima utokane na chama cha siasa ama mbunge wa kuteuliwa na Rais? Katiba yetu hairuhusu mgombea huru asiyetokana na chama cha kisiasa.
Mtu asiye mbunge anaweza kugombea uspika ila lazima atokane na chama chochote cha kisiasa.
KATIBA YA NCHI YAKO INASEMASasa ili uwe mbunge si lazima utokane na chama cha siasa ama mbunge wa kuteuliwa na Rais? Katiba yetu hairuhusu mgombea huru asiyetokana na chama cha kisiasa.
Mtu asiye mbunge anaweza kugombea uspika ila lazima atokane na chama chochote cha kisiasa.
Huyo Kabudi na elimu yake ameifanyia nini Tz ukilinganisha na Lukuvi?Hawa watu ndivyo wanatafutaga madaraka. Huyu lukuvi ex std seven anataka kua speaker. Hata kama kajiendeleza kielimu hana darasa linajulikana zaidi ya kua na vyeti feki. Uspika tunahitaji japo elimu ya chuo kikuu. Kuna naibu speaker msomi sijui wanahangaka nini. Kama ni mtu mwingine mzee kabudi apewe hiyo nafasi sio hawa watu wa madili.
Lukuvi licha ya kushika nafasi kubwa wanataka wao tu waongoze milele.
Binafsi ningeshauri hiyo nafasi apewe kabudi ili nchi iweze kuendelea kunufaika na weledi wake kwenye sheria na uzalendo wake kwa taifa.
Katika CCM Hakuna anayefaa kwa chochote.NI tayari imeamzia usiku wa saa 7 (00:01am) na alipomalizia kiwaona wamiliki wa mahotel km A Shabiby na FM wa Bambalaga iliyopo viwanja vya Lukuvi Njedengwa huo NI ukweli
lkn Lukuvi hafai mwambieni Azan Zungu ana weledi na sio STD 7
Hajafika kwa Babu akapata kikombe cha uji?Hahaha hata katibu tarafa lazima ukohoe itakuwa hicho cheo ambacho unaweza ukaachiwa kiti cha Rais kwa dharura?
Tusubiri tuone kwa nchi zetu mpaka unakopa kwa lengo la kurudisha ukipita na usipopita unauza ulivyopiga mwanzo
Huyu mzee wa vijisenti?Kabudi hafai kabisa aende akale hela walizohongwa za Makinikia; mpaka leo hatujui hatma yake!
Hiyo kazi ya Spika wampe Chenge kama wanataka bunge liheshimiwe.
Lukuvi hafai ni mdini sanaKampeni za majitaka na kuchafuana zimeanza, hii ni kutaka kumchafua Spika wetu mtarajiwa!. Fitna hii imefeli kabla haijaanza.
P