William Lukuvi anajishghulisha na nini kwa sasa?

Nchi imechukuliwa na born town, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafaidi mema ya [emoji208] ja [emoji3069].
Na sikufaidi tu bali wanakula asali na wameshaacha kuchovya. Born town anapiga makofi kama Mayele anapokuwa kafunga goli, Papa papa.
 
Na sikufaidi tu bali wanakula asali na wameshaacha kuchovya. Born town anapiga makofi kama Mayele anapokuwa kafunga goli, Papa papa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeh
 
Upo sahihi kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie nakufa kwa kucheka, ndungai nae ana matashtiti na manjonjo, hasa kwenye ishara ya kukonyeza anavofanya huo mkono sasa. Mweeeeeh

Wewe wewe yaani wote unawajulia
Umetishaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Una sense of humour nimekupenda kwa hilo [emoji112][emoji3]
 
Wewe wewe yaani wote unawajulia
Umetishaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Una sense of humour nimekupenda kwa hilo [emoji112][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kawaida tyuii.
Afu Ndugai mbna bungeni haonekan, ni mtoro sugu eeeh
 
Kosa la Ridhiwani ni lipi hata uje hapa kuldhalilisha? Baba yake kuwa Rais wa nchi kwa awamu ile ni kosa. Mbona mnakufuru wazi wazi?! Alichukua kitu gani ambacho wewe unao ushahidi usiotia shaka? Madhali Ridhiwani ni Mtanzania, na anaao sifa za kuwa Kiongozi wacheni aongoze. Hizi roho mbaya haziwezi kukusaidia wewe. Usirithi chuki.
 
Kwani alikuwa na MKATABA wa kuteuliwa maisha yake YOTE?!!!😳😳🀣🀣

#Siempre JMTπŸ™
 
Chuki tu.....
 
Kwa kuwa aliahidiwa kuwa WAZIRI MILELE......
 
Na ana vigezo gani vya kumshinda Lukuvi?
Ana sifa gani ya ziada iliyomfikidha hapo?
 
Na ana vigezo gani vya kumshinda Lukuvi?
Ana sifa gani ya ziada iliyomfikidha hapo?
We kweli mbbbwa ,kwani huyo Mumeo Lukuvi kazaliwa hawe waziri?! Hivi nyie mmerogwa? Dikteta ameharibu kweli mentality zenu kkkkenge nyie
 
mwamba alivyokuwa anasema tumuombee, alimaanisha watu wote tumuombee. Yaani mawaziri wake wamuombee, wananchi wamuombee na viongozi wa dini wamuombee pia. Lilikuwa jukumu la wote, tumeshindwa kumuombea ametwaliwa sasa uchungu tuupate wote, ukitenguliwa tulia tuli. Tukipandishiwa bei za bidhaa tutulie tuli, tukiambiwa mtangulizi ameharibu nchi tutulie tuli. Unafki haufai, wao wamekuwa mema ya nchi kwa huo muda basi waridhike sisi wengine hatujawahi hata kupanda kwa lifti gari ya serikali lakini tupo vizuri na hatumdekei mtuπŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…