Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Inawezekana Ila mtoto pendwa pia aliwahi kumvimbia na kumjibu hovyo mpango, Ila mwisho nani alibaki?Kwa chongolo umetuongopea mchana kweupee
Nikikumbuka mtoto pendwa aliyekuwa anajimilikisha dsm alikuwa anamjibu hovyo huyo chongolo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huenda hata jiwe alikua kamchoka bashite Ila alijua amimtumbua atawapa ushindi watu ndio ikabidi amsubiri kwenye ubunge