William Lukuvi ndiye aliyekuwa kipenzi cha Hayati Magufuli

William Lukuvi ndiye aliyekuwa kipenzi cha Hayati Magufuli

Asikiki siku hizi sauti imeenda wapi kama enzi zile
 
Magamba matatu kisha sema Raisi ajaye ni muislam mwenye misimamo kama ya jpm!!labda kadi,Bashiru, Majaliwa n.k!!lukuvi labda Waziri mkuu ajaye!!!
 
Kipenzi wa JPM alikuwa Angela K Waziri wakati huo.
 
Lukuvi namkubali kuliko ccm wote. Peke yake kwenye ccm. Lukuvi wakimuweka 25 anaweza kuwarahisishia. Japo siikubali ccm
 
Elimu yake vipi?
Elimu ni kitu gani?. Utendaji tu aliouonyesha unatosha,hata awe darasa la saba. Humo ndani wapo wenye elimu maprofeser lakini hakuna wanachofanya zaidi kulamba miguu
 
Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM.

Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.'

Wakati fulani inasemekana baadhi ya mawaziri wenzake walipokuwa na mgogoro wa wazi na JPM walikuwa wanamfuata William wakiomba akawaombee msamaha.

Vyanzo vya uhakika vinatabanaisha Magufuli alimpenda William kwa sababu ni mkweli na hakuwahi kumdanganya hata alipotaka ukweli wa jambo fulani kutoka kwa wachunguzi ilibainika ni kweli.

Walio karibu na JPM wanadai wakati fulani 2020 alifikiria kumteua William awe Waziri Mkuu.

Hata ile kauli ya JPM ya kusema William na mwenzake ni wazee hawawezi kuwa Rais ilikuwa ni geresha tu bali 2025 KWA NGUVU YA JPM WILLIAM ANGEKUWA MGOMBEA WA U RAIS TANZANIA kupitia CCM.

Nyongeza:

Baada ya Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi chaguo la Magufuli ilikuwa Chongolo amteue kuwa Katibu mkuu wa CCM

Kwa hiyo Chongolo hayupo hapo kwa bahati mbaya mama aliendeleza tu huo uteuzi kwa sababu alikuwa anajua.
Ndugu wa Marehemu mna keleleeee, chee!
 
Back
Top Bottom