William Lukuvi ndiye aliyekuwa kipenzi cha Hayati Magufuli

Asikiki siku hizi sauti imeenda wapi kama enzi zile
 
Magamba matatu kisha sema Raisi ajaye ni muislam mwenye misimamo kama ya jpm!!labda kadi,Bashiru, Majaliwa n.k!!lukuvi labda Waziri mkuu ajaye!!!
 
Kipenzi wa JPM alikuwa Angela K Waziri wakati huo.
 
Lukuvi namkubali kuliko ccm wote. Peke yake kwenye ccm. Lukuvi wakimuweka 25 anaweza kuwarahisishia. Japo siikubali ccm
 
Elimu yake vipi?
Elimu ni kitu gani?. Utendaji tu aliouonyesha unatosha,hata awe darasa la saba. Humo ndani wapo wenye elimu maprofeser lakini hakuna wanachofanya zaidi kulamba miguu
 
Ndugu wa Marehemu mna keleleeee, chee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…