Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanani!?
Kumbe alikuwa CEO!?Kila nafsi itaonya umauti !!
kila mtu ataishi kwa mda wake ni jambo la kuomba mwisho mwema.
View attachment 2621189
kwani walovaa barako walipona, au wewe katika safari zako na maisha yako ya kila siku unavaa barakoa ?Vaa barakoa waafrika bana
Ameacha mtoto!!?Le Mutuz alikuwa na life ya kipekee. Ni wale watu wanaishi wanavyotaka wao kwa kuendana na jamii nyinyi na maoni yenu shauri zenu, alikuwa anajiamini pamoja na masahibu yake. Apumzike kwa amani
Acha uzushi kwani yey ni Nani asifeChangamoto ya upumuaji imerudi kwa kasi
Ndio, kule MarekaniAmeacha mtoto!!?
Hapo sasa.. maana alilalamika sana..Boma yeeee.Ila imenisikitisha sijui.wanae watajisikiaje?Hope watakuja kumzika Baba yao.
Atakosa content siku zijazo.Atahuzunika kiukweli. Sema watoto wake sijui watakuja kumzika. Too sad. Halafu itakuwa tatizo la kupumua limemuondoa. Jamani wale wenye afya mgogoro inabidi waache kujichanganya.Corona ipo.Nadhani Mange Roho Yake Itatulia Sasa
True. Alitoa mchango mkubwa sana kwa ukuzi wa hii platform. FIELD MARSHALL!!Japo JF inakataza kureveal Identity za watu, huyu enzi zile za Jamboforums si ndo alikuwa akijitambulisha kama Field Marshall SS?
Kauli wanazotoa watu mtu anapofariki inaweza kuwa kipimo kimojwapo kizuri cha kiwango cha akili za watu wa jamii fulani.Wewe kila mtu akifa unafundishwa kuwa humble. Kwani bila mtu kufa hufundishiki
Hata uwe humble lazima ufe..Be Humble down to the earth [emoji288][emoji288]
Dah apumzike kwa amani nitamiss sana habari zake. Yaani leo kale ka mifupa katasherekea dah nimeumia.View attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.