TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia


Huenda ni maji yanafuata mkondo.

Pamoja na Le Bataz nyingi mjini, Le mama yake alikua akiishi Le hapo.
Alipigiwa simu 3 days before kuwa mama yake anaumwa lakini hakwenda.
Alipofariki akachukua fast Jet kwenda Mbeya, akakuta wameshazika, akaenda kuonyeshwa kaburi akageuka siku hiyohiyo.

Jamaa alikua mtu sana, sijui aliyakoroga wapi?
 
Mimi huo upumbavu nimeukataa mtu akiniona sina faida, pesa zangu nazo asizitegemee, yeye amfate mama yake ampe.
Kusoma serikali inasomesha bure
Sawa sawa. Atapata huduma za msingi tu, shule serikali inasomesha bure na wanafunzi wanafaulu, matibabu hata Mwananyamala Refferal Hospital yanatolewa. Nguo Kariakoo zipo mpaka za buku tano hasa mashati, misosi inapatikana humu humu kwenye maduka yetu Uswazi mfano kwa Mangi na chakula kwa mama Mwajuma.[emoji38]

Patamu hapo mkuu
 

Alimzika na alipost picha aliyopiga na wanaouza majeneza uko Tunduma tukamchamba insta hadi akafuta! Mama yake alikuwa anakaa sehemu inaitwa chianga ni upande wa Zambia
 
Maana mtoto akishaamua kukuchukia atakudharau na kuona hufai.

Wanawake hawataingia mbinguni
 
Wewe sasa unataka kunigombanisha na ndugu upande wa marehemu! Sisi tunahitaji kuchangamka ili tuwafiriji wafiwa
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Tatizo bia zikishapanda kichwani mtaanza kujiuliza weeee mtu anauliza kulikoni mda wote ulikua huliii kumbe bia zimekubari kukaa pahala pake, haya mshaletewa hizo bia ?
 
Alimzika na alipost picha aliyopiga na wanaouza majeneza uko Tunduma tukamchamba insta hadi akafuta! Mama yake alikuwa anakaa sehemu inaitwa chianga ni upande wa Zambia
Hii dunia ni hadaa sana. Sijui ni kipi kilimkengeusha Le Mutuz.
Jamaa alikua anapendwa sana humu mtandaoni, na alikua ni mtu nondo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…