TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Sio nje ya ndoa😀 le mubebez kazaliwa some few weeks before Tanganyika got her super independence you know, so by that time Mzee Malecele was bachelor bwoy
Siyo hivyo mkuu, mama yake lemutuz alikuwa ni mchepuko wa mzee malecela. .., so lemutuz na wakina mwele wanashea baba tu, mke wa ndoa wa malecela ambaye naye ni pia ni marehem ndo mama yao kina mwele na ipyana ambao wote walishafariki pia....
 
RIP mwanzilishi mwenyetu wa JF: Wakati huo akijulikana kama "ES". Mbona ghafla hivyo?

Ulikuwa na mchango mkubwa sana hapa JF hasa ile miaka ya 2000 na mwanzoni mwa miaka ya 2010 kabla hujaanzisha blog yako. Mungu akupumzishe kwema peponi
Nawaona wakongwe
 
tunataka tuone kama watoto wake wengine mzee wataenda kumzika le mutuz. hapo ndio funzo, wapendeni tu ndugu zako hata kama ni wa kambo, manake hata usipowapenda kuna siku mtakutana makaburini.
 
R.i.p big boy jamii forum tulipenda sana kukupinga na kukuponda ila atakukuchukia ulikuwa ukichangamsha sana huu mtaa Pole mueshimiwa malecela.wale watoto wasojua umuhimu wa baba wasije hata Tanzania waombeleze huko huko daah Rest in peace Dude
 
View attachment 2621167

Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaonesha madehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Kifo hakina ujanja wala umaarufu, tujiandae na tukikubali.
 
View attachment 2621167

Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaonesha madehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.

Rest well bro William
 
Uvumilivu upi ss wengine hatuujui embu tupe kwa kifupi Sana

Mnk mm namfahamu tu Kama mtoto wa nnje ya ndoa ya mzee wetu waziri mkuu wa zamani ndugu malecela

Je Ni yeye lemutuz ameyavumiliaaa
Kwa matusi mliyokuwa mnamporomoshea haswa Mange na genge lake! Inahitaji hekima na busara kuhimili hali ile.
 
Screenshot_20230515-003201.jpg
 
Back
Top Bottom