TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Hapo umemsahau Irene alikuwa Dr(Dr Irene) aliamua kujiua.Inanisikisha sana.Halafu kuna binti yake yule Mwendwa yule jaji. Ana kiharusi yaani siku hizi anasukumwa kwenye wheel chair. Mzee Malecela kusema ukweli kafiwa sana hapo pia alifiwa na Mkewe wa kwanza.
Tatizo ni ni nini!?alikula mkataba gani hasa!!?
 
Screenshot_20230515-131837_Chrome.jpg
 
Duniani tuwapitaji sio kwetu hapa .siku ikifika haijalishi uko na Hali Gani uaiacha tu.
 
Kwa taarifa Lemutuz sio kijana ni above 60 ni umri wa wastaafu. Apumzike kwa amani. Binafsi niliwahi kukutana nae ATM CRDB Holand House nikamsalimia tukapiga stori kidogo ingawa ndio kwanza kumuona live very humble man
A Very humble man big yule tyme nyingi tulikuwa tunaonana kijiweni kwake pakupumzikia na kupiga michongo na wana leaders pale after sprints na circuits akiwa na ile Noah yake ya 1997 big brand Le mutuz RIP
 
Sheikh lini tena Mzee John Samuel Malecela ametutoka ?

Tuwe makini tusilete taharuki kwa kuandika taarifa nzito zisizo sahihi kisa unahisi fulani atakuwa marehemu au amekumbana na kadhia fulani
Hivi jina kamili la marehemu Leo Mutuz ni lipi Sheikh? Na kwa umri wake hayati ni Mzee au Kijana?
 
A Very humble man big yule tyme nyingi tulikuwa tunaonana kijiweni kwake pakupumzikia na kupiga michongo na wana leaders pale after sprints na circuits akiwa na ile Noah yake ya 1997 big brand Le mutuz RIP
Kile kinoah chake cheusi kakichora chora ...jamaa alikuwa na tuvituko
 
View attachment 2621975
Huenda ni maji yanafuata mkondo.

Pamoja na Le Bataz nyingi mjini, Le mama yake alikua akiishi Le hapo.
Alipigiwa simu 3 days before kuwa mama yake anaumwa lakini hakwenda.
Alipofariki akachukua fast Jet kwenda Mbeya, akakuta wameshazika, akaenda kuonyeshwa kaburi akageuka siku hiyohiyo.

Jamaa alikua mtu sana, sijui aliyakoroga wapi?
Hapo mkuu umemuonea le kibamiaz- bonge wa watu, nakumbuka baada ya kupata msiba wa mama yake kweli alichelewa ila alisafiri na kukuta bado hawajazika na alihusika kwenye mazishi ya mama yake kuna picha zipo kwenye mtandao wakiwa wanazika kaburini jamaa akiwa amevaa t-shirt na pensi..
 
Attachments

  • 64fed1dc2d39d08816ac5422ffcf4752.jpg
    64fed1dc2d39d08816ac5422ffcf4752.jpg
    43.6 KB · Views: 10
Haya mapicha huwa yanadanganya sana ungekutana naye live ndo ungejua huyo jamaa kweli umri umeenda...
Mi nimemuona laivu Tanga na Dodoma,hakua na uzee kama baadhi ya wazee,nadhani kwasababu ya kutofanya kazi ngumu.
 
Hapo umemsahau Irene alikuwa Dr(Dr Irene) aliamua kujiua.Inanisikisha sana.Halafu kuna binti yake yule Mwendwa yule jaji. Ana kiharusi yaani siku hizi anasukumwa kwenye wheel chair. Mzee Malecela kusema ukweli kafiwa sana hapo pia alifiwa na Mkewe wa kwanza.
Huyu baba jaman anapitia magumu mnoo, namuonea huruma kweli
 
Back
Top Bottom