TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Age is nothing but just numbers John pombe Magifuli kazaliwa 1959 kafariki 2021
Lemutus kazaliwa 1961 kafariki 2023
Mmoja anaonekana Mzee mwingine kijana.
Ugonjwa wa moyo ni hatari.
Hayati Magifuli alijua hatari ya huo ugonjwa akaamua kukumbizana na muda kutimiza ndoto zake kabla muda wake haujafika.
Lemutuz akachagua njia ya duniani tunapita
 
Age is nothing but just numbers John pombe Magifuli kazaliwa 1959 kafariki 2021
Lemutus kazaliwa 1961 kafariki 2023
Mmoja anaonekana Mzee mwingine kijana.
Ugonjwa wa moyo ni hatari.
Hayati Magifuli alijua hatari ya huo ugonjwa akaamua kukumbizana na muda kutimiza ndoto zake kabla muda wake haujafika.
Lemutuz akachagua njia ya duniani tunapita


Uzee unatakiww kuanza umri wa kuacha kazi kati ya 65 na 67 lakini kwetu kumajaa watoto kila mtu ni mzee

Kwa US ni 62
In the United States it is generally considered that a senior citizen is anyone of retirement age, or a person that has reached age 62 or older.
 
Duh!
img_1_1684529571917.jpg
 
View attachment 2621167

Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinaonesha marehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Jamani corona bado ipo, tujichunge.
 
Sidhani kama watawaza,,,,,,
Mimi kiukweli Sina excuse yoyote na baba anaekimbia watoto.sina.
Kulea watoto mwenyewe kunaleta simanzi moyo unaweza ukafa ganzi ukatamani huyo jamaa afe
Yeye alisemaga aligombanaga na mama Yao,,,ila watoto wanasema aliwaaga anaenda kusalimia bongo na hakukua na ugomvi na haluwai kurudi na wala hakuwahi kiwatafuta..
My dear baba ambaye hakuwajal tangu watoto Leo hii unafikiri watakua na uchungu?
Na SI ajabu wamekua Kwa taaabu...
Kama wewe ni mwanaume hata kama unampitia taabu vip na uliyezaa nae hakikisha upotezi mawasiliano/ukaribu na wanao hata kama huna pesa ...usije baadae ukapopup tu....kulea watoto mwenyewe ni taaabu sana

Sidhani kama unajua ni kwanini Le Mutuz alijitenga na familia yake. Hivyo usihukumu usichokijua, na Sidhani kama unajua tabia halisi ya huyo aliyekuwa mke wake.

Wanaume ni tofauti sana na nyie wanawake ambao mtaeleza kila kitu kibaya cha mwanaume na mengine mtasingizia ili mradi tu jamii imuhukumu mwanaume. Lakini wanaume wengi wamekimbia familia zao sababu ya ushetani wa nyie wanawake, kuna wanawake ni mashetani hata kukaa nao karibu ni mateso.

HIVYO KAA KIMYA WEWE MDADA WA KIMASAI. PIA NA WEWE NINAVYOKUSOMA HUWEZI KUISHI NA MWANAUME YEYOTE
 
Back
Top Bottom