stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Ndio Nani ? Wengine hatumjui sio walaji wa hizo sehemu za Mama lishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Nani ? Wengine hatumjui sio walaji wa hizo sehemu za Mama lishe
Ndio Nani ? Shilole anaitwa Hidaya ?
Haya sawa mkuu,Anajua Mungu mwenyezi
Sio homa ya corona?Cardiosis, cardiology issues ni hatari life span yake ni rehema zake Mungu tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Daaqh daslama hatariMobimba nyenyenye
mwenzio anatoa umbea wewe unamuombea kufa nikuulize yupi ana dhambi kubwa, asee binadamu kwa kujipa kazi za Mungu za kujaji watuAfe mdomo wazi ama kafumba kikubwa kavuta, ila mange atavuta mdomo wazi kweli maana so Kwa shit na umbea alienae kmmke
Mijitu ya mkoani mishamba sana...basi unaona kumuona lemutuz ni kitu kikiubwa!Chai
R.I.P Lemutuz
Duuuh[emoji848][emoji848]Ndio Nani ? Shilole anaitwa Hidaya ?
Wewe ni kubwa jingaa. Period [emoji38][emoji38]Ole wenu mseme nahamisha mahudhui ya uzi au nachochea ugomvi atapigwa mtu kerebu akaangukie karibu na kaburi kuuliza sio ujinga, eti kanatoka kamtu kameshiba magimbi ya msibani kanareport eti huyu anachochea ugomvi ana lugha chafu anatutoa kwenye uzi afu Moderator nae jamaa asivyo na akili za kutulia anaenda tu km likondoo fulani anaminya ban bila hata kufuatilia mjadala ulikuaje hapo kabla, kuuliza sio ujinga sisi sio makondoo humu Jf lazima tuhoji lazima tuulizane maswali lazima tupate majibu ya maswali tunayoyauliza sisi sio wajinga wajinga wa kupelekwa pelekwa ovyo tu km makondoo we're educated people in here tunatambua nini tunafanya, sasa mtu akiona inamuuma ameshikwa pabaya mtu anapohoji nakuuliza swali/maswali ili apate majibu hata km ni nje ya uzi si anapita kushoto tu kwan lazima tufanane?
R.I.P Lemutuz
Mashamba weMijitu ya mkoani mishamba sana...basi unaona kumuona lemutuz ni kitu kikiubwa!
Mtu anashinda posta anazurura kushoto kulia!
Wewe ni MakamasiWewe ni kubwa jingaa. Period [emoji38][emoji38]
Unanitafutia ban Mimi Bwana wako si ndio ?Duuuh[emoji848][emoji848]
Hebu utoke huko kisorokwinyooo unatia aibu
Kuuliza uliza ka lijinga[emoji57]
AlhamduliLlah nipo.Bi Faiza upo ?? Nimefurahi kuona "comment" yako. Bibi wa busara
Asalamaleko Shangazi,AlhamduliLlah nipo.