General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
R.I.P le super bebez [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
le mutuz lazima ameacha mali. nyumba kinyerezi sijui na vingine alikuwa anatamba navyo. sasa tunasubiri watoto wale waliomtukana baba yao na mama mwenye roho ya sumu aje kurithi. bahati mbaya nadhani le mutuz hakuna na wadogo zake ni kam alizaliwa peke yake, ila kama angekuwa na ndugu wengine, alitakuwa kuandika wosia mali zake ziende kwa ndugu zake. angetakiwa kuwaacha kabisa wale watoto wenye matusi waendelee kuishi kimama mama na mama yao.
Kabisa mkuuHakizoeleki wala hakitakuja kuzoeleka mkuu,RIP Le Mutuz...
Jamani tupo msibani subirini tuzike [emoji23]
Aliyetumwa bia nae hajarudi sasa tunaombolezaje uku!!!
Umeagiza bia msibani km kinywaji au km kiburudisho unasherehekea nini ?
Ulichezea bahati kwa mFrance 😅 wewe wa kusubiria bia kweliTunapunguza uchungu
Sawa sawa. Atapata huduma za msingi tu, shule serikali inasomesha bure na wanafunzi wanafaulu, matibabu hata Mwananyamala Refferal Hospital yanatolewa. Nguo Kariakoo zipo mpaka za buku tano hasa mashati, misosi inapatikana humu humu kwenye maduka yetu Uswazi mfano kwa Mangi na chakula kwa mama Mwajuma.[emoji38]Mimi huo upumbavu nimeukataa mtu akiniona sina faida, pesa zangu nazo asizitegemee, yeye amfate mama yake ampe.
Kusoma serikali inasomesha bure
View attachment 2621975
Huenda ni maji yanafuata mkondo.
Pamoja na Le Bataz nyingi mjini, Le mama yake alikua akiishi Le hapo.
Alipigiwa simu 3 days before kuwa mama yake anaumwa lakini hakwenda.
Alipofariki akachukua fast Jet kwenda Mbeya, akakuta wameshazika, akaenda kuonyeshwa kaburi akageuka siku hiyohiyo.
Jamaa alikua mtu sana, sijui aliyakoroga wapi?
Kwa hio unataka kutuambia kwamba bia tamu na Dj asiweke nyimbo za huzuni sana ingawa bado tupo kwenye maombolezo ?Tunapunguza uchungu
[mention]Mshana Jr [/mention] View attachment 2622031
Pichaa na Maana yake
Kwa hio unataka kutuambia kwamba bia tamu na Dj asiweke nyimbo za huzuni sana ingawa bado tupo kwenye maombolezo ?
Maana mtoto akishaamua kukuchukia atakudharau na kuona hufai.Sawa sawa. Atapata huduma za msingi tu, shule serikali inasomesha bure na wanafunzi wanafaulu, matibabu hata Mwananyamala Refferal Hospital yanatolewa. Nguo Kariakoo zipo mpaka za buku tano hasa mashati, misosi inapatikana humu humu kwenye maduka yetu Uswazi mfano kwa Mangi na chakula kwa mama Mwajuma.[emoji38]
Patamu hapo mkuu
Ushachezea vitasa PM tayari au bado mpambano haujaisha ?Ntumieni namba yake nimpigie huyo mlomtuma bia[emoji23]
Yaani nikiwaza lile tusi huwa nasikia kuzimiaDogo analia mpaka anashindwa kupenga kamasi mda huu anapiga kwikwi mfululizo, akikumbuka utoto zile memory nzuri wako pamoja uchozi haikati km bomba la mvua dweeee
😆😆😆 Tatizo bia zikishapanda kichwani mtaanza kujiuliza weeee mtu anauliza kulikoni mda wote ulikua huliii kumbe bia zimekubari kukaa pahala pake, haya mshaletewa hizo bia ?Wewe sasa unataka kunigombanisha na ndugu upande wa marehemu! Sisi tunahitaji kuchangamka ili tuwafiriji wafiwa
Tusi la kiutu uzima alafu limetoka kwa mtoto kwenda kwa Baba, hatari sanaYaani nikiwaza lile tusi huwa nasikia kuzimia
Kwa kweli kama mzazi lazima uishi siku chache
Hii dunia ni hadaa sana. Sijui ni kipi kilimkengeusha Le Mutuz.Alimzika na alipost picha aliyopiga na wanaouza majeneza uko Tunduma tukamchamba insta hadi akafuta! Mama yake alikuwa anakaa sehemu inaitwa chianga ni upande wa Zambia