Ulichezea bahati kwa mFrance [emoji28] wewe wa kusubiria bia kweli
Hii dunia ni hadaa sana. Sijui ni kipi kilimkengeusha Le Mutuz.
Jamaa alikua anapendwa sana humu mtandaoni, na alikua ni mtu nondo sana.
Kwahiyo?? Ndio ilibidi asofe kisa katukanwa au?si juzi tuh alitukanwa na mwanae
Bunafsi sikuwahi kufikiri Le mutuz anaweza kuwa na madini kama yako thus sijawahi fikiri wewe ni Lemutuz.75% ya JamiiForums Members walikuwa wakisema GENTAMYCINE ndiyo Marehemu hivyo pengine kuanzia leo Watabadilika au waendelee Kuamini kuwa Mimi ni Yeye hivyo hata hii Post naiandika nikiwa Frijini Mortuary ya Muhimbili National Hospital ( Wadi #26 ) nilikohifadhiwa.
Sasa kwa nini ukaamua kumsingizia mFrance, Ila usimuliaji ule inaonekana una kipaji cha kusuta😅Ile ilikuwa changamsha genge [emoji1787] nimewapanikisha watu makusudi ili wajae pm nijue rangi zao halisi humu
[emoji38][emoji38][emoji38] Tatizo bia zikishapanda kichwani mtaanza kujiuliza weeee mtu anauliza kulikoni mda wote ulikua huliii kumbe bia zimekubari kukaa pahala pake, haya mshaletewa hizo bia ?
Fanya makosa yote, usikosee kwenye kuoa au kuolewa.Hii dunia ni hadaa sana. Sijui ni kipi kilimkengeusha Le Mutuz.
Jamaa alikua anapendwa sana humu mtandaoni, na alikua ni mtu nondo sana.
Bia 2 bia 3 bia 4 bia 5 ikifika ya 10 na kuendelea sasa hapo Mimi simo,Bia za msibani hazina adabu wana wanaanza kutoa siri za mwendazake mpk waliobaki duniani! Wanaconnect doti tu
Ukikosea kuolewa inakuaje mkuu unalala na viatu (Raba) na jeans juu au ni vipi ?Fanya makosa yote, usikosee kwenye kuoa au kuolewa.
Sasa kwa nini ukaamua kumsingizia mFrance, Ila usimuliaji ule inaonekana una kipaji cha kusuta[emoji28]
Bia 2 bia 3 bia 4 bia 5 ikifika ya 10 na kuendelea sasa hapo Mimi simo,
Ila ndio hivyo funda baada ya funda bia zinazidi kua tamu mda baada ya mda na story za umbea kwa mbali Mara paa msibani pamegeuka bar,Bia za msibani hazileweshagi ata unywe kreti sababu mnakaa kimajungu hamtaki kuminya kope! Mnakuwa busy kuhesabu wanaoingia na kutoka
Ulidhan Facebook?Dah kweli hii jf[emoji38][emoji38][emoji38]
Kaishajibu kasema R.I.H duuh[emoji848]Roho inamuuma sana Dada wa Taifa....Le Mutuz ameondoka huku akiwa na Beef naye ,hawaja squash the beef yao! Kuna PCK na Mbutananga naona wamefurahi..
jibu alilotoa ndilo linalomwonyesha ni mtu wa aina gani. naamini siku anakufa atakufa mdomo wazi, ni shetani kabisa yule dada. kama hamjawahi kuona mwanamke anayeitwa yezebeli mnywa damu za watu, mange hiyo roho anayo. na ninaamini hatakuja kukanyaga bongo, kwasababu watu aliowaumiza watamkaanga pamoja na chips awe chakula cha mbwa. just imagine anatua tu bongo, irene uwoya kuonyeshwa uchi vile dunia nzima inaona atamwacha? watu walioharibiwa biashara na familia kwasababu ya maslahi yake? na zamani mimi nilifikiri ana hela kumbe alikuwa anabemenda vibabu hadi majuzi alipoanza kupata pesa binafsi kwa app ya umbeya ndio akakiri kwamba ni mara yake ya kwanza ananunua vitu kwa pesa yake binafsi.nyie Mnasema mange amepigwa ubaridi kufuatia kifo cha Lemutuz Mobimba? kamsomeni ameshaamka amwaga mharo kama kawaida yakw huyu mkosa adabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufa ni kufa tu.Unafikiri akifa atajua kafa mdomo wazi?jibu alilotoa ndilo linalomwonyesha ni mtu wa aina gani. naamini siku anakufa atakufa mdomo wazi, ni shetani kabisa yule dada. kama hamjawahi kuona mwanamke anayeitwa yezebeli mnywa damu za watu, mange hiyo roho anayo. na ninaamini hatakuja kukanyaga bongo, kwasababu watu aliowaumiza watamkaanga pamoja na chips awe chakula cha mbwa. just imagine anatua tu bongo, irene uwoya kuonyeshwa uchi vile dunia nzima inaona atamwacha? watu walioharibiwa biashara na familia kwasababu ya maslahi yake? na zamani mimi nilifikiri ana hela kumbe alikuwa anabemenda vibabu hadi majuzi alipoanza kupata pesa binafsi kwa app ya umbeya ndio akakiri kwamba ni mara yake ya kwanza ananunua vitu kwa pesa yake binafsi.
Bila kumsahau mkewe wa kwanza malecela pia alishatanguliawatoto wa Mzee Malecela waliotangulia “mbele za haki” ni:
1). Senyagwa Malecela
2). Dkt. Irene Malecela
3). Mkwavi Ipyana Malecela
4). Dkt. Mwele Malecela, na
5). William Malecela (Le Mutuz) duniani kuna watu wanapitia magumu sana.