TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

RIP mwanzilishi mwenyetu wa JF: Wakati huo akijulikana kama "ES". Mbona ghafla hivyo?

Ulikuwa na mchango mkubwa sana hapa JF hasa ile miaka ya 2000 na mwanzoni mwa miaka ya 2010 kabla hujaanzisha blog yako. Mungu akupumzishe kwema peponi
 
75% ya JamiiForums Members walikuwa wakisema GENTAMYCINE ndiyo Marehemu hivyo pengine kuanzia leo Watabadilika au waendelee Kuamini kuwa Mimi ni Yeye hivyo hata hii Post naiandika nikiwa Frijini Mortuary ya Muhimbili National Hospital ( Wadi #26 ) nilikohifadhiwa.
Bunafsi sikuwahi kufikiri Le mutuz anaweza kuwa na madini kama yako thus sijawahi fikiri wewe ni Lemutuz.
 
Ile ilikuwa changamsha genge [emoji1787] nimewapanikisha watu makusudi ili wajae pm nijue rangi zao halisi humu
Sasa kwa nini ukaamua kumsingizia mFrance, Ila usimuliaji ule inaonekana una kipaji cha kusuta😅
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Tatizo bia zikishapanda kichwani mtaanza kujiuliza weeee mtu anauliza kulikoni mda wote ulikua huliii kumbe bia zimekubari kukaa pahala pake, haya mshaletewa hizo bia ?

Bia za msibani hazina adabu wana wanaanza kutoa siri za mwendazake mpk waliobaki duniani! Wanaconnect doti tu
 
Bia za msibani hazileweshagi ata unywe kreti sababu mnakaa kimajungu hamtaki kuminya kope! Mnakuwa busy kuhesabu wanaoingia na kutoka
Ila ndio hivyo funda baada ya funda bia zinazidi kua tamu mda baada ya mda na story za umbea kwa mbali Mara paa msibani pamegeuka bar,
 
nyie Mnasema mange amepigwa ubaridi kufuatia kifo cha Lemutuz Mobimba? kamsomeni ameshaamka amwaga mharo kama kawaida yakw huyu mkosa adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
jibu alilotoa ndilo linalomwonyesha ni mtu wa aina gani. naamini siku anakufa atakufa mdomo wazi, ni shetani kabisa yule dada. kama hamjawahi kuona mwanamke anayeitwa yezebeli mnywa damu za watu, mange hiyo roho anayo. na ninaamini hatakuja kukanyaga bongo, kwasababu watu aliowaumiza watamkaanga pamoja na chips awe chakula cha mbwa. just imagine anatua tu bongo, irene uwoya kuonyeshwa uchi vile dunia nzima inaona atamwacha? watu walioharibiwa biashara na familia kwasababu ya maslahi yake? na zamani mimi nilifikiri ana hela kumbe alikuwa anabemenda vibabu hadi majuzi alipoanza kupata pesa binafsi kwa app ya umbeya ndio akakiri kwamba ni mara yake ya kwanza ananunua vitu kwa pesa yake binafsi.
 
Kufa ni kufa tu.Unafikiri akifa atajua kafa mdomo wazi?
 
watoto wa Mzee Malecela waliotangulia “mbele za haki” ni:
1). Senyagwa Malecela
2). Dkt. Irene Malecela
3). Mkwavi Ipyana Malecela
4). Dkt. Mwele Malecela, na
5). William Malecela (Le Mutuz) duniani kuna watu wanapitia magumu sana.
Bila kumsahau mkewe wa kwanza malecela pia alishatangulia
 
Back
Top Bottom