Kwa hiyo tunakubaliana uzee unadefine wa n'a kiwango cha umaskini .hivi scoop dog unajua ni mbabu kwa context hiyoKwa maisha haya (hasa kwa nchi nyingi zaidi za Afrika)hapo unawaongelea marehemu.
Twani weSema tu ukweli alikua bwana wako ili ndugu wakufikirie! Wenda ukaachiwa kale ka online tv! Ila kama ni msela post yako imekaa kiupinde wa mvua
Surely umenena yote, Lemutuz wa very exceptional, what an amazing person, hachoshi kumuona na kumsikiliza, utulivu wa hali ya juu sana . Blessed to have had a chance to watch and listen him. Much love bro Lemutuz. Huna wa kufanana na wewe. 💞💞💯💯🙏🙏🙏"BURIANI WILLIAM MALECELA".
Nakumbuka Mara ya Mwisho kuwasiliana na William Malecela "Le Mutuz" ilikuwa Ni Tarehe 14 February 2023, 8:14 Mchana(Valentine Day).
William alinicheki personally Baada ya Kusoma Posti niliyoandika hapa Siku hiyo ya Valentine nikielezea kuhusu namna gani Fedha ni kila kitu ktk "Material World"Lakini si kila kitu katika "Ulimwengu wa Kiroho"....nilielezea Mfano wa Bilionea Michelle Ferro aliyekuwa Mmiliki wa Kiwanda kikubwa Cha Chocolate Duniani Cha Nutella na Utajiri wa Dollar Bilioni 20 Lakini akafariki Feb 14 Mwaka 2015 ktk Siku ya Valentine ambayo alijiandaa pia kusheherekea.
Lemutuz aliponicheki akaniambia Ujumbe huu ulimgusa na aliupenda, akaniomba Ku-share na Watu Wengi zaidi kwenye Platform zake ikiwemo Instagram.....Aka-share na ameondoka akiuacha pale Instagram ukiwa umewafikia Watu Wengi zaidi kuliko hata vile Ambavyo ningeusambaza Mimi...He was the King of Social Media...Le Mutuz kwa namna ya Maisha yake ya Kujichanganya na kila Mtu aidha Mkubwa au Mdogo kwake ali-share Material zozote Online au Offline za Mtu yeyote ambazo Ni Positive with "Facts".
Ni dhahiri pia William alitambua Kuwa pamoja na Maisha ya Dunia Lakini Mungu aliye Mkuu wa Vyote atavuna kila kiumbe ktk Dunia hii pale aonapo inastahili bila kujali Status ya kiumbe hicho kijamii au kiuchumi, naamini William pia amelala Mahali pema with a positive Mentality iliyoamini Kuwa Dunia yetu hii Ni Mahali pa Kupita na ipo Siku atatwaliwa.
Nitamkumbuka LeMutuz Kama Mtu Aliyekuwa akijiamini, Mtu Real ambaye aliyaishi Maisha yake ayapendayo Bila Woga, asiye Mbinafsi na Aliyekuwa Tayari ku-appreciate Watu Wengine na hata Kusaidia pale alipoweza, Pumzika kwa Amani Mzee wa Downtown, Mbele yetu Nyuma yako Until we Meet Again, Boma Liwanza🤝🙏
Nesi mkunga
kuchat kwenu valentine si kunatuhusu nini!? Uzi wa kiboyaShei
Twani we
Ex-DC ndiye alikuwa anawabinua au yeye ndiye alikuwa anabinuliwa?😁😁😁Naskia alikua jamaa alikua upinde aliyejificha kwenye vita ya upinde yeye na yule konda wa Dar waliwahi kuwa na tension ya kumgombania ex-Dc mmoja hivi alowahi kuwa msemaji wa tim flan hivi
Ex-DC ndiye alikuwa anawabinua au yeye ndiye alikuwa anabinuliwa?😁😁😁
Nani kakwambia ukiwa mtu mwema kwa jamii unakuwa ndo tiket ya kuwa mume bora ??hivi ex wa le mutuz anajisikiaje anapoona watanzania rundo wanatoa RIP kwa baba watoto wake?
Mzee ww ni pius wa FB?"BURIANI WILLIAM MALECELA".
Nakumbuka Mara ya Mwisho kuwasiliana na William Malecela "Le Mutuz" ilikuwa Ni Tarehe 14 February 2023, 8:14 Mchana(Valentine Day).
William alinicheki personally Baada ya Kusoma Posti niliyoandika hapa Siku hiyo ya Valentine nikielezea kuhusu namna gani Fedha ni kila kitu ktk "Material World"Lakini si kila kitu katika "Ulimwengu wa Kiroho"....nilielezea Mfano wa Bilionea Michelle Ferro aliyekuwa Mmiliki wa Kiwanda kikubwa Cha Chocolate Duniani Cha Nutella na Utajiri wa Dollar Bilioni 20 Lakini akafariki Feb 14 Mwaka 2015 ktk Siku ya Valentine ambayo alijiandaa pia kusheherekea.
Lemutuz aliponicheki akaniambia Ujumbe huu ulimgusa na aliupenda, akaniomba Ku-share na Watu Wengi zaidi kwenye Platform zake ikiwemo Instagram.....Aka-share na ameondoka akiuacha pale Instagram ukiwa umewafikia Watu Wengi zaidi kuliko hata vile Ambavyo ningeusambaza Mimi...He was the King of Social Media...Le Mutuz kwa namna ya Maisha yake ya Kujichanganya na kila Mtu aidha Mkubwa au Mdogo kwake ali-share Material zozote Online au Offline za Mtu yeyote ambazo Ni Positive with "Facts".
Ni dhahiri pia William alitambua Kuwa pamoja na Maisha ya Dunia Lakini Mungu aliye Mkuu wa Vyote atavuna kila kiumbe ktk Dunia hii pale aonapo inastahili bila kujali Status ya kiumbe hicho kijamii au kiuchumi, naamini William pia amelala Mahali pema with a positive Mentality iliyoamini Kuwa Dunia yetu hii Ni Mahali pa Kupita na ipo Siku atatwaliwa.
Nitamkumbuka LeMutuz Kama Mtu Aliyekuwa akijiamini, Mtu Real ambaye aliyaishi Maisha yake ayapendayo Bila Woga, asiye Mbinafsi na Aliyekuwa Tayari ku-appreciate Watu Wengine na hata Kusaidia pale alipoweza, Pumzika kwa Amani Mzee wa Downtown, Mbele yetu Nyuma yako Until we Meet Again, Boma Liwanza🤝🙏
Nesi mkunga
Pamoja na mapungufu yake mengine kama binadamu wengine tulivyo, lakini yapo mengi sana ya kujifunza kutoka kwa huyu mwamba, alikuwa ni mtu wa aina yake, lemutuz ameishi halafu kaishia, rest well brother."BURIANI WILLIAM MALECELA".