Hii corona imekuja kivingine kipindi hiki.Duh,Apumnzike kwa amani.Huyu alikuwa anakula good time na Wabebez.Ila maisha yanazidi kunifundisha kuwa Humble.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii corona imekuja kivingine kipindi hiki.Duh,Apumnzike kwa amani.Huyu alikuwa anakula good time na Wabebez.Ila maisha yanazidi kunifundisha kuwa Humble.
R..I..P lemutuzNimekutana na hii post, is it true? Plz Moderator Confirm!View attachment 2621120
====
View attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
Kweli kabisa, hakuna haja ya kuwekeana vinyongo na visasi, yote tunayohangaikia tutayaacha nyuma.Duh,Apumnzike kwa amani.Huyu alikuwa anakula good time na Wabebez.Ila maisha yanazidi kunifundisha kuwa Humble.
Mange kaniambia
Nakusalimia kama una nafasiDuh,Apumnzike kwa amani.Huyu alikuwa anakula good time na Wabebez.Ila maisha yanazidi kunifundisha kuwa Humble.
Hakizoeleki wala hakitakuja kuzoeleka mkuu,RIP Le Mutuz...Kifo tunapaswa tukizoee tu. Kumuona mtu asubuhi na mchana ukasikia kafariki ni kawaida.
Njia yetu moja, katangulia tu.
RIP Le Mutuz, mzee wa downtown msajili buildings, na '97 vintage Noah.
musoma vijijini karibu na singidaWe uko wapi kwani