myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sawasawa, apumzike kwa amanDuh,Apumnzike kwa amani.Huyu alikuwa anakula good time na Wabebez.Ila maisha yanazidi kunifundisha kuwa Humble.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa, apumzike kwa amanDuh,Apumnzike kwa amani.Huyu alikuwa anakula good time na Wabebez.Ila maisha yanazidi kunifundisha kuwa Humble.
Nilikua namfatilia sana insta, baadh ya nondo zake za maisha zilikua realy sana,No Way, Aisee.
Daaaah
Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi.
Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years In Experience At Downtown New York Mbelezzz.
What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.
Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.
[emoji1488]
Alikuwa msela mavi fulani hiviAlikua anafanya mchongo gan hapa bongo
Huyu alikuwa sakuma Gang na mshirika mkubwa wa MakondaWale chawa wa CCM Leo mtagawayika tena, team le mutuz hahaahah CCM Wana ukichaa flaniView attachment 2621194
Kuna kipindi kulikuwa na fununu kuwa ana tatizo la moyo. Tuzidi kumuomba Mungu kama ndiyo hiyo...Hii corona imekuja kivingine kipindi hiki.
Hii itabaki speculation sababu Lemutuz anapambana na heart issues toka mwezi March alilazwa muhimbili.View attachment 2621191
Third wave ya corona imerudi ndio maana Mama Membe wanemzungushia uzio kumlinda na maambukizi.
Membe kachomoka na Corona,na hata Lemutuz ni corona.
Nilikua namfatilia sana insta, baadh ya nondo zake za maisha zilikua realy sana,
Akatumbue na mabebez wa huko aendakoNimekutana na hii post, is it true? Plz Moderator Confirm!View attachment 2621120
====
View attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere.
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
Alikuwa chawa wa Musiba na MakondaktaAlikua anafanya mchongo gan hapa bongo
Inawezekana tumeingia wimbi la 5 la corona virus??