TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Utasikia "Mungu wangu si jana tu tumetoka kula naye hapa ugali"

Sasa kula ugali na kifo hapo katikati kuna chemistry gani inayofanya ionekane ajabu kwa mtu mliyekula naye ugali kupatwa na mauti?

Yani kwa bongo ni kama taarifa ya mtu kufa kwako itakuwa normal as long as marehemu hakuhusika kwenye tukio lolote recently pamoja na wewe
Ugali ni mgumu na waafrica tunakula sana so ndio mana tunasikitika hivo "si jana tu tumetoka kula naye ugali"😁

Mle na mtu visado vitatu vya unga wa ugali mshushie na pepsi baridi tatu kila mmoja alafu kesho afe lazima ushangae mgonjwa hali hivo
 
Shughuli imerudi
 

Attachments

  • IMG-20230514-WA0006.jpg
    IMG-20230514-WA0006.jpg
    96.9 KB · Views: 12
Kifo kingine tena kwa kwa watu maarufu!
Mtihani sana maisha ya mwanadamu na kiumbe chochote juu ya uso wa dunia!
Inauma kwa kiasi fulani kifo cha kijana ila tukumbuke tu waporaji hapa kwa dunia, hivyo tuwe care na afya zetu na kila kinachosababisha kuwa hai.

Apumzike kwa aman ajaliwe kukutana na Mungu mwenyezi .
 
Back
Top Bottom