TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Ugali ni mgumu na waafrica tunakula sana so ndio mana tunasikitika hivo "si jana tu tumetoka kula naye ugali"😁

Mle na mtu visado vitatu vya unga wa ugali mshushie na pepsi baridi tatu kila mmoja alafu kesho afe lazima ushangae mgonjwa hali hivo
 
Kifo kingine tena kwa kwa watu maarufu!
Mtihani sana maisha ya mwanadamu na kiumbe chochote juu ya uso wa dunia!
Inauma kwa kiasi fulani kifo cha kijana ila tukumbuke tu waporaji hapa kwa dunia, hivyo tuwe care na afya zetu na kila kinachosababisha kuwa hai.

Apumzike kwa aman ajaliwe kukutana na Mungu mwenyezi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…