MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
..japo ni mtoto alimzaa nje ya ndoa.....ππππππPole sana kwa familia ya Malecela
Mzee Malecela mpaka namuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..japo ni mtoto alimzaa nje ya ndoa.....ππππππPole sana kwa familia ya Malecela
Mzee Malecela mpaka namuonea huruma
Namzungumzia Mzee malecela babake lemutuz....huyu Kama sikosei wa tatu anafariki.. dadake le mutuz mwele amefariki Kama miaka miwili iliyopitaHii sentensi yako tata mnoo rafiki. Unataka kusema?
Ye kila neno la kikongo alikua anaweka mbele ya jina lake Mara Lemtuz nye! nye! nye!Mwasi ya kitoko=mwanamke mwenye kupendeza/mzuriπ
Rip champezView attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaonesha madehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Mkuu kwani ilitakiwa afariki lini ili wewe uone kua haikua ghafla?Ivi kwani alikuwa anaumwa ama? Mbona ghafla Sana ivoπ€π€
R .I.P lemtzRIP le mubebez. Mzee malechela anazika tu watoto masikini [emoji24][emoji24][emoji24]
πkama Taifa ,tumepoteza comedianYe kila neno la kikongo alikua anaweka mbele ya jina lake Mara Lemtuz nye! nye! nye!
Mbona kama umetamani kumsaidia kuchunga n'gombe [emoji3]We uko wapi kwani
He was an entertainer. He was a pimp. Rest In Peace kaka.No Way, Aisee.
Daaaah
Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa [ Hasa Madini Yake Ya Kimaisha Na Street Intelligence ] Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi + Deep Down Alikua Ana Utu Sanaaa.
Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years In Experience At Downtown New York Mbelezzz.
What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.
Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.
Bwana Mungu Akawe Muongozo Sahihi Kwa Watoto Wake Na Familia Kwa Ujumla. Amen [emoji1488]
inafikirisha sanaRoho ina jua na alikuwa anataka kuwaaga jamani!
Rest easy W.J.MalecelaAma kweli Kifo ni fumboView attachment 2621190
And pimp...ππππππkama Taifa ,tumepoteza comedian
View attachment 2621191
Third wave ya corona imerudi ndio maana Mama Membe wanemzungushia uzio kumlinda na maambukizi.
Membe kachomoka na Corona,na hata Lemutuz ni corona
Kifo hakina afya mgogoro. Unachukuliwa mzima nzima kikikutaka...wangapi wwnye afya mgogoro wanadunda wale tuliosema wako fit washatangulia kitambo....Atakosa content siku zijazo.Atahuzunika kiukweli. Sema watoto wake sijui watakuja kumzika. Too sad. Halafu itakuwa tatizo la kupumua limemuondoa. Jamani wale wenye afya mgogoro inabidi waache kujichanganya.Corona ipo.
Ndio Hivyo Watanzania Tena walijua kama Mh Membe alikuwa anadai basi mpango WA Mungu utabadilika!! Ila mdaiwa anatakiwa aendelee kulipa deniSasa hiyo ndio inazuia mtu asife?
Reaction za wabongo kwenye misiba zinawezafanya mtu uangue kicheko uonekane umefurahia marehemu kufa