Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chini ya miaka 50 bado ni kijana inahesabika.
Lol! mbona balaaKwa idadi ngoja ni jaribu kukumbuka, Kuna mmoja alifariki mwanzo , mwinge kwenye ajali pale karibu na St Peters Oyesterbay ( kuna kama mwingine hapo kati ila sikumbuki vizuri) , Kuna moja bint ina semakana wa nje kitu kama alijiua kwa sababu ya mapenzi naye alifariki, halafu kuna Ippy, kuna Dr Mwalle halafu ndio Le Mutuz. , ni kama watoto sita hivi wote wamefariki .
Na yule mwingine alitoka uwanja wa taifa ghafla akadedNamzungumzia Mzee malecela babake lemutuz....huyu Kama sikosei wa tatu anafariki.. dadake le mutuz mwele amefariki Kama miaka miwili iliyopita
Boosters noma zaidiDah hizi njugu, boosters na minjingu ni nzuri ukitafuna ukiwa na 30s na 40s. Ukifisha 50s na 60s zinaelemewa overwhelmed.
nyboma King Kong III
Ndio anaamka huyo mkuu 😀 😀 😀 😀Uzi tayari,wewe ndio unajua muda huu,jitaidi uwe unasoma uzi za wengine kabla ya kupost,inaonekana umeingia tu nakushusha uzi
inatisha haswa .Lol! mbona balaa
Steve Nyerere amedhibitisha, pumzika kwa amani mwana JF mwenzetu mkongwe.
Kuna umri ukifika inabid ukubali kuachana na uroho wa wanawakeDah hizi njugu, boosters na minjingu ni nzuri ukitafuna ukiwa na 30s na 40s. Ukifisha 50s na 60s zinaelemewa overwhelmed.
nyboma King Kong III
Mkuu unaweza leta hapa hiyo post ya matusi?[emoji23]Wameishi ki American American so hawana roho za ki bongo bongo hao madogo....
Kuna yule wa kiume alimpa shit za uso mara
SUCK MY DICK...
kitu ambacho Mimi hata nikitofautiana na mtu yeyote siwezi mtukana ivyo sembuse mzazi wangu.....
Du! Hali ni mbaya sana. Lakini na Uganda, kama ilivyo kawaida ya waafrika kuficha magonjwa, nao hawajaweka wazi hiki kirusi. Mpaka labda wazungu waje kusema ukweli.View attachment 2621321
Nyumba ya jirani….
Magonjwa ya moyo yako mengiHii ugonjwa ikoje