TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Kwa idadi ngoja ni jaribu kukumbuka, Kuna mmoja alifariki mwanzo , mwinge kwenye ajali pale karibu na St Peters Oyesterbay ( kuna kama mwingine hapo kati ila sikumbuki vizuri) , Kuna moja bint ina semakana wa nje kitu kama alijiua kwa sababu ya mapenzi naye alifariki, halafu kuna Ippy, kuna Dr Mwalle halafu ndio Le Mutuz. , ni kama watoto sita hivi wote wamefariki .
Lol! mbona balaa
 
Back
Top Bottom