TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

No Way, Aisee.

Daaaah

Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa [ Hasa Madini Yake Ya Kimaisha Na Street Intelligence ] Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi + Deep Down Alikua Ana Utu Sanaaa.

Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years In Experience At Downtown New York Mbelezzz.

What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.

Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.

Bwana Mungu Akawe Muongozo Sahihi Kwa Watoto Wake Na Familia Kwa Ujumla. Amen
emoji1488.png
Mwamba mwanzo nilikuwa namchukulia poa ila Baada ya kusoma documentary yake ya my life expectancy in America nilibadili mtazamo wangu juu yake jamaa ameupiga mwingi Sana kwenye maisha yake na n
Hata naye atakufa tu🤣

Hata naye atakufa tu🤣
Tena kifo cha mbwa mwizi
 
Back
Top Bottom