Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Alikua ana.........MBA dar nzima?
Huko JamiiForums bado unaogopa kuandika maneno kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikua ana.........MBA dar nzima?
Hizi viporo vya kande tunavyofakamia na kuparamia vinatupa sana kiburi cha uzima.12.05.23 Membe
14.05.23 Le Mutuz
16.05.23
Au kwa mama Songwe huko.Mzee Malecela ana mtihani wa kuamua William atamzika Dar. au atampeleka Mvumi?
Ipo ila sio threat kama mwanzoCorona gani tena boss wangu?
Hukumsikia juzi mkuu wa shirika la afya duniani akisema Corona rasmi imekwisha duniani.
Mwamba mwanzo nilikuwa namchukulia poa ila Baada ya kusoma documentary yake ya my life expectancy in America nilibadili mtazamo wangu juu yake jamaa ameupiga mwingi Sana kwenye maisha yake na nNo Way, Aisee.
Daaaah
Huyu Jamaa Nlikua Namuelewa Sanaa [ Hasa Madini Yake Ya Kimaisha Na Street Intelligence ] Japo Wengine Wachache Walikua Hawamuelewi + Deep Down Alikua Ana Utu Sanaaa.
Rest in Paradise The King Of All Bongo Social Media Network With Over 30 Years In Experience At Downtown New York Mbelezzz.
What An Entertainer, Nimeumia Sana Daaah.
Hakika Maisha Ya Duniani Ni Safari Fupi Sana.
Bwana Mungu Akawe Muongozo Sahihi Kwa Watoto Wake Na Familia Kwa Ujumla. Amen![]()
Hata naye atakufa tu🤣
Tena kifo cha mbwa mwiziHata naye atakufa tu🤣
Kijana yupi mkuu lemutuz amezaliwa 1960sVijana wanazidi kuisha daah very sad
Mbona Bernard anaonekana kuwa ni dogo kwa William?Shughuli imerudi
Rest in peace, brother William.View attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaonesha madehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Litaanza Siku ukifa weweMods wekeni jukwaa la Vifo.
We kima usiquote km hujaelewa nilichoandika mafi we💩Tulia wewe. Tunahuzunika hapa braza Lemutuz katangulia unaleta porojo.
Nyambaff
Aliekuambia nipo hai ni nani?Litaanza Siku ukifa wewe
Bwana mdogo usinilazimishe nitamke neno baya kwako ikawa laana.We kima usiquote km hujaelewa nilichoandika mafi we💩
Ataumia! Ataumia sana trust me....hata kibaya kina uzuri wake kikitoweka.Ee Mungu!
Apumzike kwa amani
Hizi taarifa kwa Mange ni nzuri sana
Dah! Rest in peace le kubwa jingaz.View attachment 2621167
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinaonesha madehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
Kuna ipy, kuna mwingine mdogo km nakumbuka vizuri alikua msela sanaNamzungumzia Mzee malecela babake lemutuz....huyu Kama sikosei wa tatu anafariki.. dadake le mutuz mwele amefariki Kama miaka miwili iliyopita