TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

The difference is where you go after dying. Humble people go to heaven while arrogant pigs end up in hell.
Are you sure?

Can you prove that Humble people go to heaven after death and arrogant people end up in hell?

If you can't prove, Then what you say is imagination just an illusion.
 
Are you sure?

Can you prove that Humble people go to heaven after death and arrogant people end up in hell?

If you can't prove, Then what you say is imagination just an illusion.
Hio heaven na hell yenyewe ameshawahi kukanyaga mkuu au ndio maelekezo ya kiimani Ila hata kupaona hajapaona, hayo mengine jaman tuwaachie Wafu unaweza ukatoka huku na mawazo yako ya ajabu unafika kule unashangaa mboni nilikua naambiwa kuna ziwa la Moto ?
 
hiko kitendo cha juzi xWife wake kuvujisha charting yake baina ya Lemutuz na Watoto kwa Mange. niliona le mutuz akitumia nguvu kubwa kujitetea kwa kusema xwife ndio kampa Mange hiyo charting. hii pia imechangia kufariki kwa huyu Lemutuz. sisi huku jf ni Mashahidi Mobimba hakupenda kushindwa jambo. kama mtakumbuka ugonjwa wa moyo hauhitaji distables kama zile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwa matusi yale
 
Hio heaven na hell yenyewe ameshawahi kukanyaga mkuu au ndio maelekezo ya kiimani Ila hata kupaona hajapaona, hayo mengine jaman tuwaachie Wafu unaweza ukatoka huku na mawazo yako ya ajabu unafika kule unashangaa mboni nilikua naambiwa kuna ziwa la Moto ?
Watu wana "Fear of Unknown" imagination just an illusion.

Hofu isiyo kuwepo, mawazo ya kufikirika na dhana za kusadikika, Ndoto za kufikirika..
 
Kuna Uvumi mitandaoni kwamba William Malecela hatuko naye , hatuna pa kuthibitisha maana hakuna taarifa kamili , sasa huyu jamaa ni member mwenzetu hapa JF , tunaomba yeyote anayeweza kuthibitisha hili au kukanusha atusaidie.

Naomba kuwasilisha .

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Millard Ayo kapost so sio uvumi yule mwamba huwa hazingui
 
Watu wana "Fear of Unknown" imagination just an illusion.

Hofu isiyo kuwepo, mawazo ya kufikirika na dhana za kusadikika, Ndoto za kufikirika..
Ndio hivyo mkuu kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha walio hai na walio kufa Ila wote tupo sehemu moja kwenye different dimensions, wewe humuoni Ila yeye anajiona na anakuona ndio tunavyoamini na tulivyoaminishwa
 
Back
Top Bottom