TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

Mzee anapitia magumu sana badala ye ndo azikwe na wanae yeye ndo anawazika wanae mbaya zaidi hilo pengo haliwezi zibwa tena!

Alianza Senyagwa,akaja Ipyana,Dr Mwere,na sasa Lemutus
Hapo umemsahau Irene alikuwa Dr(Dr Irene) aliamua kujiua.Inanisikisha sana.Halafu kuna binti yake yule Mwendwa yule jaji. Ana kiharusi yaani siku hizi anasukumwa kwenye wheel chair. Mzee Malecela kusema ukweli kafiwa sana hapo pia alifiwa na Mkewe wa kwanza.
 
Hapo umemsahau Cathy alikuwa Dr aliamua kujiua.Inanisikisha sana.Halafu kuna binti yake yule Mwendwa yule jaji. Ana kiharusi yaani siku hizi anasukumwa kwenye wheel chair. Mzee Malecela kusema ukweli kafiwa sana hapo pia alifiwa na Mkewe wa kwanza.
So sad
 
hivi amebakiwa na watoto wangapi?
 
Mzee anapitia magumu sana badala ye ndo azikwe na wanae yeye ndo anawazika wanae mbaya zaidi hilo pengo haliwezi zibwa tena!

Alianza Senyagwa,akaja Ipyana,Dr Mwere,na sasa Lemutus

Siyo kila mzazi anaona hivyo ambavyo ndivyo kimaandiko inavyopaswa kuwa kwamba mtoto anamsindikiza mzazi, kuna wazazi wengine wanataka watoto wafe kwanza sababu ya mali na uchoyo, hivyo siyo kila mwenye mtoto ni mzazi pia, …
 
Yule Seche yule Dr kule US,Kuna Mwendwa yule jaji aliejiuzulu , kuna Nyagwa ,kuna Tully huyu ni wa kuadopt na Samweli..Wamebaki wanne.wa damu na huyo wa tano ni wa kuadopt.Hivyo kabakiwa na watoto 5
Kumbe Bado Ana watoto sikujuwaa nilijuwa lemutuz ndio kitinda mimba
 
Hii misiba miwili ya Membe na Lemutuz imenipa huzuni kama vile nimewahi kufahamiana nao.Kifo ni fumbo jmn its very sad Mungu awape pumziko la milele.Nahisi katika watu wanapitia wakati mgumu ni mzee Malecela Mungu ampe nguvu huyu mzee
 
Kwa anayefahamu why ndugu yake Le Mutuz Dr.Irene alijiua?ilikuwa ni sababu ya matatizo ya kufamilia or her personal life
 
Back
Top Bottom