Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nafikiriSo asingepaswa kufa kwsbb ameshatukanwa sio? [emoji23]
Duh mkuu...hayahusu mbususu haya masikitiko yangu kwake[emoji848]Dah masikini ungejua ungempa hata mbususu.
May be anafeel bad or nothingYaani atakuwa na majuto sana
Kiongozi msaliti12.05.23 Membe
14.05.23 Le Mutuz
16.05.23
le mutuz lazima ameacha mali. nyumba kinyerezi sijui na vingine alikuwa anatamba navyo. sasa tunasubiri watoto wale waliomtukana baba yao na mama mwenye roho ya sumu aje kurithi. bahati mbaya nadhani le mutuz hakuna na wadogo zake ni kam alizaliwa peke yake, ila kama angekuwa na ndugu wengine, alitakuwa kuandika wosia mali zake ziende kwa ndugu zake. angetakiwa kuwaacha kabisa wale watoto wenye matusi waendelee kuishi kimama mama na mama yao.
wasitake kwani wana maisha gani ulaya?Sasa wewe unahisi hao watoto wanataka huo urithi?
🤣👋🤚
Ina maana ukiingia humo ni makaburi tu duhMods wekeni jukwaa la habari za Vifo.
Pride ya mtu mwenye fikra za kimaskini,ni kuwa na watoto at early ages,Jay Z sijui ana umri gani na mtot9 wake wa mwisho kumzaa ana umri gani?Sasa we naye ikawaje baba yako akachelewa kukuzaa?
Mwisho wa kuzaa ni 35
Hata haziendaniPride ya mtu mwenye fikra za kimaskini,ni kuwa na watoto at early ages,Jay Z sijui ana umri gani na mtot9 wake wa mwisho kumzaa ana umri gani?
Just imagine,kwa pesa ya Membe au Pinda,ingekua huku uswahili kwenye kula tunda kimasihara,sijui wangekua na watoto wangapi,ajabu wanna watoto wachache sana.
May be anafeel bad or nothing
Maana yule kichwa chake ni special case[emoji848]
Alikuwa ni mtu poa.si kwako tu kuondoka kwa lemutuz ni pigo kwa watu ambao walikuwa wakimfuatilia mitandaoni. mimi nilikuwa naongea nae kupitia cm yake ya mkononi.
Sent using Jamii Forums mobile app
mange amepoteza mtu muhimu sana wa kumuongelea na kumtukana, alikuwa anamwongezea habari na followers. amenuna hadi hajapost kifo chake. ila mange, kule ndani ya moyo wake, ana roho chafu ya shetani kabisa, ana roho ngumu kuliko sumu. no wonder anashabikia hata ushoga.Roho inamuuma sana Dada wa Taifa....Le Mutuz ameondoka huku akiwa na Beef naye ,hawaja squash the beef yao! Kuna PCK na Mbutananga naona wamefurahi..
Jengo la PSPF Posta.Nami nilikuwepo hiyo siku, hivi ilikuwaga ukumbi gani vile?
mange amepoteza mtu muhimu sana wa kumuongelea na kumtukana, alikuwa anamwongezea habari na followers. amenuna hadi hajapost kifo chake. ila mange, kule ndani ya moyo wake, ana roho chafu ya shetani kabisa, ana roho ngumu kuliko sumu. no wonder anashabikia hata ushoga.
Anajistukia maana nae kachangia[emoji26][emoji26]
Kutwa kumchamba baba wa watu vitu vyenyewe sensitive sasa kama familia
Tena kama hii ya juzi ameumia sana asee