Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hawana undugu, mwale malecela alikuwa mchepuko wa babake mange, na kwasababu familia ya watoto wa ndani wa malecela walikuwa hawampendi le mutuz kwasababu ni mtoto wa nje wakiamini atapata mafao ya baba yao, mange naye akaingia kwenye mtego wa ugomvi huo, akamuaibisha hadi mwisho. worse enough le mutuz na mange hawajawahi hata kukutana na kuonana uso kwa uso, na kina mwale walimtumia mange kwasababu kichwa chake sio kizuri kumuadhibu mtu waliyemfuatilia na kumnyanyasa maisha yake yote bila kujua na wao watakufa bial kurithi hizo mali na le mutuz wanayemuwinda atakufa bila kurithi. wangejua wangepatanaga tu waishi kama ndugu kwa furaha kwasababu wote wameondoka na mzee malecela waliyekuwa wanampigiaga mahesabu ya kifo chake bado mzima hadi leo na siukute Mungu akawaondoa wote kabla mzee hajaitwa kama walivyotarajia. hili ni funzo kwa wote wanaochukia watoto wa kambo. jambo la ajabu ni kwamba, mange naye alikuwa mtoto wa kambo aliyetengwa sana na familia ya ndoa ya baba yake lakini huku akijua maumivu ya kutengwa kwa kosa lisilo lako (kosa ni la wazazi sio mtoto) aliendelea kumtesa mtoto wa kambo mwenzie hadi umauti ulipomfikia. kwasababu maumivu alikuwa anayajua, alitakiwa asiwe vile.Yes Kifo cha Le Mutuz kimemgusa sana Mange yaani amepigwa na baridi ,ukiacha mabeef yao ila wana undugu japo kwa mbali.