William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
W. J. Malecela Huyu ni mwanaJF mwenzetu muda kidogo hajaonekana huku yuko matatizoni kwa kuumwa tumkumbuke kwenye maombi.

Kwa mujibu wa maelezo yake huko Instragram hapo pichani akiwa ametoka ICU na kesho atarudishwa wodini kwa upasuaji.(hajasema ni upasuaji wa nini.

Pole sana Mungu akutangulie.

160320508_441395810526981_3729226894550727174_n.jpg
 
Back
Top Bottom