William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

Ohh jamani na Kanzu yake. Kuangalia tu machoni chini ta kope za chini kumevimba. Indicating serious healrh issue with William. Daah mwili wote kwisha. Katika maisha afya ndiyo mtaji. Ikiyumba ni shida mno.

We pray for your full recovery comrade LeMutuz.
 
Huyu atakuwa alikuwa na pulmonary Odema. Nilisoma mahali kanyonywa maji kwenye mapafu. Na hii inasababishwa na pressure kwenye left ventricle.
 
daa sasa itakuwaije mzee wa the toto the bebe ze mtindi u know the five star hotel u know am humble

pole sana mzee nikiwa mkubwa nataka niwe kama ww
 
W. J. Malecela Huyu ni mwanaJF mwenzetu muda kidogo hajaonekana huku yuko matatizoni kwa kuumwa tumkumbuke kwenye maombi.

Kwa mujibu wa maelezo yake huko Instragram hapo pichani akiwa ametoka ICU na kesho atarudishwa wodini kwa upasuaji.(hajasema ni upasuaji wa nini.

Pole sana Mungu akutangulie.

View attachment 1726599
Huyu si ana jopo la masangoma,wamponye sasa
 
Back
Top Bottom