William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

W. J. Malecela Huyu ni mwanaJF mwenzetu muda kidogo hajaonekana huku yuko matatizoni kwa kuumwa tumkumbuke kwenye maombi.

Kwa mujibu wa maelezo yake huko Instragram hapo pichani akiwa ametoka ICU na kesho atarudishwa wodini kwa upasuaji.(hajasema ni upasuaji wa nini.

Pole sana Mungu akutangulie.

View attachment 1726599

Maombi kwa watakao takiwa
Beach kidimbwi
Walaji wa shishi food
Instagram
Viwanja vyote maarufu

Watakuombea sana utapona
 
Pole sana mkuu,Mungu akuponye na kukutia nguvu,endelea kumtumaini yeye pekee...
 
Back
Top Bottom