Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Inakusaidia nini ukijua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakusaidia nini ukijua?
Sema watu wana bahati! Yaani hadi unagonga 60's bado wazazi wako wapo hai!
Huyo atakuwa anadhani Anne Kilango ndiye Maza.Mama yake mzazi LE MUTUZ alikwenda mbele ya haki siku nyingi!!
Huyo atakuwa anadhani Anne Kilango ndiye Maza.
[emoji117]Lemutuz kumbe ulikuwa umetaitiwa kiasi hicho!!!
[emoji117]Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa
[emoji117]Kama moyo ulikuwa unafanya kazi asilimia 34, unapaswa kutafakari ni kwa uwezo wa nani umefika 95% sasa uanze kumshukuru mungu mtu wenu https://t.co/4yptBThIzl
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
View attachment 1726683
Dah,mgonjwa jeuri sana huyu. kule instagram kwenye page yake kila mara anajibishana vibaya na watu. anyway augue pole.