William Malecela (Le Mutuz) anaumwa, tumuombee

Kuumwa kwa wazee ni jambo la kawaida! Sema watu wana bahati! Yaani hadi unagonga 60's bado wazazi wako wapo hai! Yaani kama Prince Charles, ambae mtoto na wazazi wote vikongwe!

Anyway, ugua pole Mzee William John Malecela!!!
Le mutuz mzazi wake mmoja tu ndio yupo hai
 
Mungu amsaidie mdau mwenzetu
 
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji350]kafunga na safety belt ndio akapost
 
hivi sini mtoto wa John malecela na mke wa malecela ni Anne kilango na dada ni dr Mwele Malecela
Mzee malecela ni dingi yake ila mazeri wake alidedi, it seems bi mkubwa wa le mbebez alikuwa mchepuko, pia huyu anne kilango ameolewa juzi kati na mzee
 
Wale ambao mmeshawahi kuishi nyumba ya panya mnaelewa!!

Ukiona kimya tambua kwamba dawa ya panya imefanya kazi!

Kuna watu hapa mjini maisha yao hayana tofauti na panya ndani ya nyumba!

Mfano!
Watu dizaini ya Musiba na lemutuz hatujawazoea kabisa kukaa kimya!

Nani anafaham walipo hawa makada wa lumumba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…